Recent content by Aloyce Mkwizu

  1. Aloyce Mkwizu

    JamiiForums Tanzania GUEST HOUSE INAUZWA BUGURUNI SOKONI

    Guest house inauzwa buguruni sokoni. Zipo 2, zote zinauzwa million 120. Zote zina vyumba zaidi ya 9 some self contained some not. Kwa maelezo zaidi wasiliana na simu namba, 0742930901 au 0754677838 Unaweza wasiliana na mwenye guest directly kwa simu namba 0767234545 KIGOMA GUEST HOUSE
  2. Aloyce Mkwizu

    JamiiForums Tanzania THE AIM.

    Tag a friend with same aim. #jamii forums.
  3. Aloyce Mkwizu

    JamiiForums Tanzania IF YOU KNOW YOU KNOW.

    Tukiwa kwenye mkakati wa kuifanya brand ya "made in tanzania" kuwa ya kipekee kampuni yetu ya if you know you know inakuletea bidhaa mbali mbali kama tshirt, pen, band, wallet, na keyholder kwa bei nafuu sana. Kwa mawasiliano zaidi: +255742930901 wasap and normal calls...
  4. Aloyce Mkwizu

    JamiiForums Tanzania Tanzania vs Syria. Ipi ina furaha zaidi.

    Mpaka libya????? Hii mbona hatari sasa.
  5. Aloyce Mkwizu

    JamiiForums Tanzania Tanzania vs Syria. Ipi ina furaha zaidi.

    Hata ivyo ni kweli watanzania hawana furaha au wame assume tu? JamiiForums Robot la Matope Faru12 young baba tz
  6. Aloyce Mkwizu

    JamiiForums Tanzania Tanzania vs Syria. Ipi ina furaha zaidi.

    nchi inaweza kuwa kwenye vita na bado ikawa na furaha?
  7. Aloyce Mkwizu

    JamiiForums Tanzania Kwa mshahara huu, Mo Dewji utajiri wako unatokana na unyonyaji wa wafanyakazi wako

    kumbe hata ufahamu tofauti ya kudhulumu na exploitation. hivyo ni vitu viwili tofauti. rejea kamusi ya ubongo wako.
  8. Aloyce Mkwizu

    JamiiForums Tanzania Tanzania vs Syria. Ipi ina furaha zaidi.

    Wakuu ninaomba msaada katika swala hili. Kama Syria pamoja na political instability waliyonayo, watu kufa kila kukicha bado wana furaha kuliko Tanzania? Au vigezo vinavyotumika kupima furaha ya nchi ni vipi. Isije ikawa furaha is directly proportional to utajiri. Hoja zenu wakuu.
  9. Aloyce Mkwizu

    JamiiForums Tanzania Kwa mshahara huu, Mo Dewji utajiri wako unatokana na unyonyaji wa wafanyakazi wako

    naona mjadala umeshakushinda
  10. Aloyce Mkwizu

    JamiiForums Tanzania MeTL GROUP, BAKHRESA GROUP Kampuni kubwa Tanzania zisizojali Wafanyakazi wake

    Ni kubana matumizi jamani. Unafananisha revenue ya melt au bahresa na apple, microsoft na facebook. Yaani kwaa hiyo point ni sawa umefananisha tajiri na maskini.
  11. Aloyce Mkwizu

    JamiiForums Tanzania Kwa mshahara huu, Mo Dewji utajiri wako unatokana na unyonyaji wa wafanyakazi wako

    sio wote rudisha maneno yako mdomoni, unamkosea hata mungu.
  12. Aloyce Mkwizu

    JamiiForums Tanzania Kwa mshahara huu, Mo Dewji utajiri wako unatokana na unyonyaji wa wafanyakazi wako

    katengeneza ajira kwa watu zaidi ya 60,000. sasa ni bora wapate hicho kidogo au wasiajiriwe kabisa. Half a loaf is better than no bread.
  13. Aloyce Mkwizu

    JamiiForums Tanzania Happy women's day

    When we celebrate women’s day, I hereby present this wonderful poem “HOI POLLOI” written by my fellow poet Lucas Kweka. And here it goes: HOI POLLOI. She has always been a music note in between, A rare sound, that is always forgotten, They don’t realize how she did it so keen, Yet...
  14. Aloyce Mkwizu

    JamiiForums Tanzania Most educated people in Africa are poor. Not just poor, but very Poor. Why?

    Lugha Yake ya kuandikia Ilikuwa ya kimabishano zaidi Sio ya kuelimishana.. Ndo maana nimemuepuka kisomi.....
Back
Top Bottom