Recent content by Aloreiya

  1. Aloreiya

    Wadau wa forex trading nisaidieni hapa

    Shukrani.., nitafanya hivyo
  2. Aloreiya

    Wadau wa forex trading nisaidieni hapa

    Upo mkoa gani natafuta mtu wa kunifundisha hii kitu ana kwa ana. Me Niko mtwara au kama unamjua mtaalamu wa hii kitu anayeishi huku niunganishe nae
  3. Aloreiya

    Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Huku ukimsubiri dokta akujibu naomba mwende wote hospitali mkapime fungus na U.t.I
  4. Aloreiya

    Hidden cancer cures

    Kijiko kimoja tu
  5. Aloreiya

    Kuuliza sio ujinga, madokta nisaidieni kujua hili!

    Kama katoto ametimia miezi basi amekuibia, alitakiwa ajifunge august tena tarehe za mwisho. Mtoto hata kama hajachukua sura yako au pua lakini paji la USO lazima litafanana. Wanawake siku hizi wanamatch rang za handbag na nguo lakini kumatch sura za watoto na baba zao hilo wamefeli kabisa
  6. Aloreiya

    Hidden cancer cures

    black seed oil unakunywa kutwa mara tatu., asubuh kabla hujala kitu., mchana na ucku b4 dinner. kijiko cha chakula kwa miezi mitatu mfululizo bila uvivu
  7. Aloreiya

    Hidden cancer cures

    daah nimeamini sasa., kuna jamaa 1 alipata kansa akatibiwa akapona fresh kabisa., ndugu yake akasema ameponeshwa na black seed/habbat soda. ahsante mkuu
  8. Aloreiya

    Hidden cancer cures

    daah nimeamini sasa., kuna jamaa 1 alipata kansa akatibiwa akapona fresh kabisa., ndugu yake akasema ameponeshwa na black seed/habbat soda. ahsante mkuu
  9. Aloreiya

    Asante jf doctor

    ukitafuna zinatafunika kabisa hlf ni nzuri kiafya
  10. Aloreiya

    Zijue faida za Mmea wa Mlonge, Jitibu magonjwa 300 kwa kutumia mlonge

    wanakula kwa idadi nasikia., wanaisafisha tumbo wanaidadi yao., wanaoongeza cd4 wanaidad yao., wanaojitib u.t.i wanaidadi yao pia. kun wengn wanamez 1,2,3, n wengn mp 4.
  11. Aloreiya

    Kama amenichoka aniambie niende kwetu

    pliiiiiiiiz nakuomba kamwe usiache kazi hata cku moja., huyo kijana kama ana tabia hizo hyo ndoa yenu haitadumu na kazi itakusaidia kulea watoto na ndugu zako. Hata cku moja mwanaume acjaribu kukwachisha kazi hawaaminiki. au utumie dawa ya kojo hatochepuka tena na atakujari vby sana
Back
Top Bottom