Mhdiwani
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 650
- 712
Wakuu habari zenu na heri ya crismas,,
siku kumi zilizopita niliweka Uzi hapa kuhusu kushindwa kufanya chochote kwa binti flani kwakweli iliniuma sana na nilidharaulika sana.
binti akaniita dume kaptula
nikaja kuomba ushauri hapa watu wengi walijitokeza kunishauri pia niwape shukrani,,
baada ya kupewa ushauri nilidhamiria kuufanyia kazi ili kurudisha heshima nilihisi habari hizo zikisambaa itakua shida.
Nilianza kupiga push up 20 asbh na jioni,,nikawa nakunywa maji ya kutosha na kula vyakula vyenye tija,,nikafuta video na picha zote za XXX kwenye simu yangu ,,nikala matikiti maji pamoja na tunda zake.
Baada siku Tisa Jana nikaomba mchezo,,binti alikubali lkn akaniambia nkishindwa tena atanitangaza ckujali
Jana usiku alivyokuja kwakweli nilijiona tofauti kilichotokea nikwamba wakati naendelea nshamaliza mzunguko wa kwanza na kuunga wa pili bila kushuka ,,,akaniambia subiri kidogo nikae vzr nilivyochomoa alitoka nduki sana.
Asbh ananipigia cm akaniambia cku ya kwanza nilimfanyia kusudi,,
asanteni wadau mficha maradhi mauti humuumbua