Safi sana Rais wetu, ikiwezekana tuwe na utaratibu wa kuahirisha sherehe hizi kila baada ya mwaka mmoja, ina make sense kuahiirisha, ili hizo 2 bil zitumike kwenye kuhudumia wananchi. Ila sasa kama fedha za kugharamikia muungano zinatoka pande zote za muungano basi angegawa hizo fedha kote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.