Magufuli Will Visit Rwanda Tomorrow

Magufuli Will Visit Rwanda Tomorrow

President Kagame welcomes President Magufuli to his home and giving him five cows!
CfXgS3sXIAEAkgw.jpg


CfXgS3AXEAEPIp0.jpg
 
DRC na Burundi ni nchi ambazo hazina ally hapa Africa zaidi ya Tanzania.

Kabila hawezi "kuinunia" Tanzania maana ni lazima aje tu, nchi zote zinazomzunguka hakuna nchi inayomsapoti kama Bongo, hata kule SADC yupo kwa sababu kuna nduguyake mmoja tu yumo mule na ye ni Tz, Congo Brazaville ni kwa moto sana kule hawezi kushirikiana napo kiviile, kuna waasi balaa na kila siku wanazinguana.

Burundi keshajichokea na matatizo yake hawezi kujiingiza ishu za Congo, Uganda naye ni somehow mpiga deal kule Kongo
kwa hiyo mtu ambaye yuko stable kidogo kwake ni Tanzania ambaye hana historia ya kumfanyia umafia.

Tatizo moja ambalo ni kikwazo kati ya Tanzania na Congo DRC ni kutokuwa na mpaka wa moja kwa moja na RDC, Ziwa Tanganyika limeikinga DRC kwa hiyo inakuwa ngumu kushirikiana sana na Congo kwa sababu ya Ziwa, na mipango mingi inafanywa sasa kupitia Zambia kwa sababu ipo stable.

Mpaka sasa Tanzania na Congo wanajenga barabara ya lami kupitia Zambia na Congo.

Congo hawezi "kuinunia" Tanzania hata iweje

Uko sahihi Mkui
 
Inaonekana PK&JM will be besties, unlike the PK and JK terrible relationship.
 
Back
Top Bottom