JJ; Mwalimu kashasha unaliongeleaje goli la Pogba...
Kashasha; aah kiukwel Goli la pogba ni dizain ya magoli ya namna yake kimpira tunaita Fundamental Syphoin yaan yale ambayo yamechezwa zaidi kimpira na watu waliotumia weledi mkubwa...
Kama utaangalia vyema Goli lilianzia kwa sanchez ambaye...
daah yan wanaalib mpil waache mpila uwe na makoso mengi ndy utanoga MTU unaweza kufunga goli ukamsubili refa aangalie uhalal mpaka mood ya kushangilia inaisha
Wwe ilikuwa zaman trump na vinc macmahon uku maywether na big show ilikuwa hata mabifu ndy usiseme baadhi ya mabifu ninayo yakumbuka
1.The rock vs stone cold
2.Mack henrI vs batista
3.Randy orton vs undertaker
4.Boker t vs boogeyman(mla minyoo)
Rey mysterio vs chavo guerolo
5 .Ecw vs raw
6.Raw...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.