Recent content by allyj416

  1. allyj416

    Je unahitaji majani makavu yenye ubora (hay) kwa ajili ya mifugo?

    Mifugo huhitaji majani mabichi lakini pia makavu kwa ajili ya kuongeza ukuaji wa haraka lakini pia kuongeza kiasi cha maziwa kwa ng'ombe. MAJANI HAYA YANAPATIKANA WAKALA WA VYUO VYA MAFUNZO YA MIFUGO- KAMPASI YA BUHURI -TANGA BELI MOJA INA KG 12- 15 0715 942 282. // 0684 426 849
  2. allyj416

    Yule anayethubutu kusema Lowassa Fisadi

    Kinachoonekana hapo kwa mawazo mepesi tu ni kwamba hata wewe mwenyewe huna uhakika kama ni fisadi au si fisadi...kwa hiyo unasubiri akitumbuliwa basi kwako atakuwa fisadi na ambavyo hajatumbuliwa kwako si fisadi.......JENGA HOJA YA KUTETEA USAFI WAKE!!
  3. allyj416

    Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

    magufuli abakubalika sana sana sana .....na mwaka huu ni 90%
  4. allyj416

    Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

    sasa hicho ni kitu cha kujisifia kweli kwa watz waliokomaa kiakili
  5. allyj416

    Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

    huo ni utashi wa mtu kwenda au kutokwenda malori si hoja wala wasanii si hoja .....na hata kama malori yatakuwepo asietaka kwenda hatokwenda na atakaetaka kwenda atakwenda tu .....toeni hoja za msingi
  6. allyj416

    Siasa chafu za Lowassa dhidi ya Magufuli zavipa kazi ya ziada vyombo vya dola Monduli

    siasa za majitaka na kwa mwanasiasa anayejitambua huwa anawaeleza wapiga kura wake atakayowafanyia na kuwaacha wao waamue .....na si kuogopa mshindani wake .....unapowaambia watu wasiende unawajengea maswali ambayo majibu yake hayatakuwa rafiki kwako ......tafakarini team inayomsapoti kampeni babu
  7. allyj416

    Dr. Slaa amsababishia Magufuli kupoteza mwelekeo zaidi

    haah eti saa hizi slaa kawa mzuri kwa chedema ( kahitalifiana kwenye uteuzi tu ) na maneno yoooooote yaliyokuwa yakisemwa baada ya press conference leo hayana maana eeeh ......slaa tulimuelewa sana na yeye ni jembe alikataa kuuzwa
  8. allyj416

    Dr. Slaa kumnadi Magufuli Jumatano

    Hivi kumbe zitto na slaa wanaelewana eeeh
  9. allyj416

    ISIS Fleeing Syria to Evade Russian Airstrikes

    hakuna mataifa makubwa hasa ulaya na marekani ambyo yanaweza kusaidia vita za mataifa mengine bila kuwa na maslahi binafsi juu ya hayo mataifa
Back
Top Bottom