Recent content by Ally780

  1. A

    JamiiForums Tanzania Tatizo kudownload Apps Play store

    Acha zarau ndugu Kama wewe unatumia iPhone isimzarau mwenye tecno unaweza msaidie huwez kaa kimya.
  2. A

    JamiiForums Tanzania App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi

    Tatizo lipo kwa wengi bro hata kwangu hilo tatizo lipo
  3. A

    JamiiForums Tanzania Ukubwa gani wa madirisha ambao hupendezesha nyumba?

    Asante mkuu umeeleweka
  4. A

    JamiiForums Tanzania Ukubwa gani wa madirisha ambao hupendezesha nyumba?

    Naomba namba zako nikutafute private
  5. A

    JamiiForums Tanzania Ukubwa gani wa madirisha ambao hupendezesha nyumba?

    Habari wadau Kama nilivyoeleza hapo juu naomba ushaur juu ya vipimo vizur vya madirisha makubwa yenye kuifanya nyumba iwe na mwonekano mzur yenye kuvutia. Wapo walionishaur niweke ft 5 yaani mita 1.7 wapo wengine wamenishaur ft6/mita 2 nawengine wamenishaur niweke madirisha mawili mawili ya ft...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Usinunue iphone 13

    Mna hela au mnajishaua tu.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Usinunue iphone 13

    Ukichunguza utakuta mtu hata kiwanja Hana anapangisha Kama mzigo lakini anajitutumua kutoa mil.4 kumiliki iPhone 13 kisa tu aonekane mjanja wa mjini. Angalia kesho yako usiangalie vitu vya kupita ambavyo kila siku vinapotea na kuja vingine vipya. Kama una uwezo si vibaya kununua kitu Cha...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mnadhibiti vipi wizi katika ujenzi?

    Kama unataka mafundi waaminifu nenda kachukue wapemba ambao hawajaingia dar. Sio kwamba hakuna wapigaji Ila kwa kiasi kikubwa wazenj Ni watu waaminifu sana ukilinganisha na huku bara kwani kule wamekuzwa katika misingi ya dini wamefundwa kuwa na hofu ya mungu. Bara watu wamepinda hawaogopi...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ana uke mkubwa ila bado nampenda

    Wanawake Kama hao wapo inaonekana alichanika wakati wa kujifungua Wala hakupata mshono. Kwa sababu hiyo sio Hali ya kawaida Kuna njia mbili ambazo zinaweza kukusaidia 1.kama upo vizur nenda katika hospital kubwa kwa wataalam wakaangalie kiini Cha tatizo Kama tatizo la kuchanika wakati wa...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa nyumba: Budget ya Tsh 22,500,000/=

    Huo Ni mtazamo wako na kila mmoja ana mtazamo wake katika maisha Sasa mwenzio mtazamo wake Ni kupata nyumba. Mm ushaur wangu wewe Anza ujenz hata Kama hautamalizia finishing yote Ila Nina Imani zitakufisha mbali sana palipobakia utamalizia kidogo kidogo. Cha msingi zingatia kununua matirial...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Simu yangu haiingiz chaji ikiwa imewaka mpaka izimwe

    Asante mkuu nimejaribu kibadilisha charger Zaid ya nne Ila tatizo bado halijaondoka.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Simu yangu haiingiz chaji ikiwa imewaka mpaka izimwe

    Kama nilivyoeleza hapo juu simu yangu Aina ya Tecno park 5 Ina tatizo la kutopokea chaji ikiwa imewashwa takriban wiki Sasa. Njia pekee ninayotumia kwa Sasa Ni kuizima tu kila ninapohitaji kuichaji. Tatizo Hilo lilianza Mara tu baada ya kuja silent notification ya Android system kwenye simu...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kwa nini bando la internet ya Zantel linachelewa kuisha kulinganisha na mitandao mingine?

    Habari wadau, Mm Nina simu kubwa mbili ambazo natumia laini tatu za mitandao tafauti Zazntel,Vodacom na halotel. Laini hizo zote nazitumia kwa matuizi ya internet ambapo Mara nyingi huaga naweka salio la 1000 kwa kila laini lakini nilichogundua bando la zantel Mara zote huaga linachelewa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Namna ya kutengeneza Nywila (Password) imara

    Nywila yangu ya zamani ilia s1ts2@s3
  15. A

    JamiiForums Tanzania Deep web/ Dark web unaijua? Na ushawahi kwenda huko na uliona nini huko

    Kwenda huko co poa hata kidogo Kuna rafikiangu alizamia huko alichokutana nacho hatakaa asahau katika maisha yake yote. Kwa macho Yale alishuhudia mtu anafanya sex na maiti, Haikuishia hapo akashuhudia vedio ya binadam anachinjwa Kama anavyochinjwa kuku kusha akakatwa vipande vipande Kisha...
Back
Top Bottom