Hichi Nilichoandika kinahusu wanaoamini uwepo wa Aliyeumba Dunia na Vilivyomo (Kwa yeyote asiyeamini unaweza usome kujifunza, Kwa mwenye swali Nitajibu hispokuwa tu yaliyo ya kejeli)
Ipo Hivi, Kuna Watu wanaamini kufanikiwa Hapa Duniani maana yake Mwenyezi Mungu anapowajibu Dua zao Licha ya...
Kibaya Kila Mwanaume anatamani aoe mwanamke wa Aina hiyo ila wakati Huo huo Tunaona Jinsi watu wanajisifia Kuzitoa Hizo kwa mabinti wadogo wadogo. Na tena Kibaya zaidi wengi humu wanawasifia na kuwapa hata mbinu.
Ulivyoandika Tu unajua Kila Kitu, Tayari Wewe Hauna Unalolijua.
Swali Lipi Hilo Ulimuuliza, Mpaka Akaona Upungufu Katika Uislamu? Liulize Hapa.
Sent from my TECNO PR651E using JamiiForums mobile app
Yeye Kaongelea Uaminifu/ Uadilifu, Hajaongelea Talaka wala kuongeza Mke.
Na Kasema Kuwa wanaihofia Zinaa.
Kuhusu Kuongeza mke wa Pili, Dini yake inamruhusu. Kutokuhudumia Hiyo ni Mada nyingine haina mahusiano na alichozungumza Mwanzisha Uzi.
Mmoja Kati Ya Uliowataja, Nilifahamiana nae hapa hapa Kilichotutenganisha ni imani zetu.
Ni Mwanamke Ambaye Popote Siwezi Kumsema vibaya, Atakayemuoa ni kweli Hatojutia.
Ana Hofu Ya Mungu
Ana Moyo wa Huruma
Ana ijua thamani yake na kujitunza.
Ana Uelewa wa mambo mengi ya kijamii.
Ni Muelewa...
Hawa watu ni wanafiki Sana, Wakati Wanadai kuishi kwa upendo, Tunaona humu kukicha wakifungua nyuzi za kuudhihaki UISLAMU. Sasa Upendo wao upo wapi?
Yaani mtu atoe uhai wa mwingine kwa kudhamiria huku akijua hilo ni kosa na bado asamehewe? Mtu akiibie mali yako tena hata kukudhuru yupo tayari...
Labda Nikuulize, Hapo Kuna Uhuru? Kwa akili zako mtu akitaka Shati lako umpe na koti ndiyo unaona ni uhuru Huo? Yaani leo Wewe uwe na Gari Mtu akusimamishe njiani atake kulichukua Gari Lako ushuke umwachie?? Yaani Mtu Atake kukunyang'anya Nyumba unayo ishi na Familia yako halafu uondoke...
Hapo Umewazungumzia Wanaojiita Waislamu, Wanaotumia Uislamu Kujinufaisha Hasa kwa Watu kama wewe wasiokuwa na Uelewa wa kutofautisha Kati ya Uislamu (Dini) na Muislamu (Binadamu).
Katika Sheria Za Uislamu Moja Kati Ya Madhambi Makubwa Kabisa ni Pamoja na Kumshirikisha na chochote Mola Wako...
Nimezungumzia Uislamu na Mafundisho yake, Wewe unazungumzia Waarabu na tamaduni zao. Huoni Kama Tofauti Hapo?
Sasa Kwa Fikra Hizo Unawezaje Kuuzungumzia Uislamu na Huelewi Chochote Kuhusu Uislamu??
Labda Ufafanue Uislamu unaozungumzia wewe ni Upi? Unaweza Kueleza kwa kifupi Mifano Kuwa waislamu hawapo Huru?
Uislamu Hauna Kifungo, Uislamu ni mfumo sahihi wa maisha ya binadamu.
Uislamu Unafundisha
1.Malezi Sahihi ya watoto (haki za mtoto na haki za mzazi)
2.Namna ya Kula.
3.Kuongea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.