wadau nmekuwa nikilipia pesa meridian BET lakin siion kwenye account maana procedure zote nmezifanya kama wanavyotaka na kama nlivyokuwa natumia msimu uliopita na pesa ilikuwa inaonekana.
1.*150*00#....
2. nachagua 4
3. nachagua 4 tena
4. naingiza 170066
5. naandika jina langu kama namba ID...
dada yangu cha kukushauli ni kufanya shughuli unazozipenda binafsi mimi napenda kucheza na kuangalia mpra znaniondolea stress so nakushauru penda kufanya shughuli ambazo znakufurahisha na kukuweka bize, ckushauli kuckilza music itakupa mawazo, fanya shughuli ambazo zitakuhangaisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.