Recent content by ally timamy Al-kindy

  1. ally timamy Al-kindy

    JamiiForums Tanzania Maisha yamekuwa magumu mtaani

    Mkuu mbona unamuwekea chumvi kwenye Kidonda!?
  2. ally timamy Al-kindy

    JamiiForums Tanzania Hebu tuwe wawazi tu, hivi bwana harusi hapa amelenga nini kuuoa mmoja wa mapacha walioungana?

    Nadhani wote itakuwa wanafika kilele kwa wakati mmoja sababu mwili ni mmoja kwa maana ikiwa litapatikana jeraha mguuni kwa mfano au kiunoni maumivu yatapita kwa wote sababu mwili wao mmoja tofauti ni vichwa tu.
  3. ally timamy Al-kindy

    JamiiForums Tanzania Historia ya Bichwa Komwe: Maktaba ya Jamiiforums

    Mbona kama unatupanga kwahiyo miaka 16 tayari ume graduate o level?
  4. ally timamy Al-kindy

    JamiiForums Tanzania Quran inawezaje kushindwa hesabu ndogo Kama hii?

    We jamaa umebeba chuki mbaya sana dhidi ya Uislam badala ya kusoma na kujifunza
  5. ally timamy Al-kindy

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Msegemnege

    Bila shaka dada kigoma moja [emoji23][emoji23][emoji23]
  6. ally timamy Al-kindy

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida"

    Hongera sana Mzee kwa Story nzuri yenye Elimu na Mafunzo hakika U Muandishi bora wenye hamasa nimeifuatilia story hakika najutia kuchelewa kuisoma Shukran Mwenyezi Mungu Akujaalie Umri na Afya njema uzidi kutupatia Elimu na Mafunzo.
  7. ally timamy Al-kindy

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa majini na mambo niliyoshuhudia na kujifunza kwao

    Dah! hizi Nondo leo hapa ni [emoji91]
  8. ally timamy Al-kindy

    JamiiForums Tanzania Tuambizane ukweli, hivi ulishakutana na bonge mwenye roho mbaya au chuki zisizoeleweka?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Umeuaaa
  9. ally timamy Al-kindy

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kuhamia Tanga

    Dah mkuu mbona waanza kumtisha [emoji23]
  10. ally timamy Al-kindy

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa tuliowahi kushambuliwa, tupe ushuhuda ulipona vipi? Ilikuwaje?

    Aisee Pole sana Mkuu so uliwapataje?
  11. ally timamy Al-kindy

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa serikali mliwezaje kutoboa, mbona mimi naenda kushindwa

    Usikate tamaa usiache kazi fanya Subra huku ukiendelea Kumuomba Mwenyezi Mungu akuoneshe njia ya kutokea.
  12. ally timamy Al-kindy

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa serikali mliwezaje kutoboa, mbona mimi naenda kushindwa

    Nimekupenda Bure my ushauri mzuri
  13. ally timamy Al-kindy

    JamiiForums Tanzania TAARIFA: Uzinduzi wa JamiiAfrica pamoja na Mpango Mkakati wake

    Hongereni sana Jamii forums kwa Maendeleo Makubwa hiyo ni moja ya namna ya kuiunganisha Africa Mungu ibariki Jamii forums Mungu ibariki Africa.
  14. ally timamy Al-kindy

    JamiiForums Tanzania Hesabu Za LUKU Zinapigwaje

    Kwanini wasiiainishe kwenye record kama hizo za ewura, VAT act.
  15. ally timamy Al-kindy

    JamiiForums Tanzania Kunguru anapougua. Huwatafuta mchwa wamtibie

    Hii nilikuwa siijui Mkuu ubarikiwe sana elimu kubwa hii na yenye Mazingatio.
Back
Top Bottom