Kiukweli cha kusema ni kwamba hauwez kumuxhukulu kuwa mtu ni shoga hàta kàma utajua hautakuwa na ushaid wa kutoshà kwahyo kikubwa ni kuwashauli ambao hawajaanza hiyo tabia wasijalibu na wasiige tabia za wenzetu
Hàkuna mtu anaye sifiwa nà watu wote hata kamà angeyafanya uliyo yasema bàdo ungemupinga na aliyepo ayafanye hayo unayo yaona ni sahihi kwa upande wako
Watu
Watu wanalia Hali gumu nyie munasema ametengeneza Tanzania ili uamini hakuna alicho kifanya subili 2025 hapo ndo utaamin kwann napinga Hilo amenufaisha San watu wenye maendeleo na kuwanyonga watu wenye kipato cha chin kwako wewe utaona katengeneza Tanzania watu weng wataona Kaharibu Tanzania
Usiseme miaka 500 mbele sema2 miaka Kama 30 hiv maana sasahiv wanawake wajiuza Kama nyanya sehemu mbali mbali na ambaye hajiuzi kwa njia ya kujiweka sokon basi Mimi sijamuona bint anayetoa namba kwa mwanaume na asifanye nae tendo la ndoa na kwa siku bint anatoa namba si chin ya watu watu wawili...
Kwa sasa hiv kwenye 100 utawapata 10 wanawake weng sasa hiv huolewa kwa ajili ya maisha màzur na hajali kuhusu moyo wao kwahyo hawez kuwa romantic wakat ameolewa na mtu kwa ajili ya kuishi vizur tu na si kingine yupo mtu MWINGINE yupo moyon mwake
Usiseme miaka 500 mbele sema2 miaka Kama 30 hiv maana sasahiv wanawake wajiuza Kama nyanya sehemu mbali mbali na ambaye hajiuzi kwa njia ya kujiweka sokon basi Mimi sijamuona bint anayetoa namba kwa mwanaume na asifanye nae tendo la ndoa na kwa siku bint anatoa namba si chin ya watu watu wawili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.