Rudi mwanzo wa picha, utagundua hata pesa ya ma2miz jamaa alikuwa analamba asilimia kadhaa... Kumbuka mwanamke mweny akili ni mzaz wako pekee, wengne n majambaz. Mteme huyo jambaz mkuu ana meng ya kufanya kwako ikiwemo hasara.
Jamani watu wengi wanajua kuwa punyeto ndio ndoto nyevu na ndoto nyevu ndio punyeto.
Hii ni sahihi? Mi nadhani kwamba punyeto ni hali ya kujishinikizia tendo la ndoa pasipo hiari ya mwili.
Na ndoto nyevu ni ndoto inayomtokea mtu usingizini ikihusiana na tendo la ndoa.
Kwani jamii nying hili ni tatizo kubwa sana, hasa pale tu kijana anapokuwa umri kat ya 14_16 y's old inakuwa tatizo kwao wanaamua kufanya unyumba pasipokujua mashart ya unyumba, hivyo kuanza kuporoka kimaadili mpaka kuwataka walio na umri wa wazaz wao....
Usijali Kwani, Haya Ni Ya Kawaida, Kumbuka Mwanadam Yeyote Aliyezaliwa Na Mwanamke Lazima Atakufa Tu. Dunian Cc Ni Wapangaji. Kwani Hata Mm Ukinipa Nafasi Hii Sio Mbaya, Naamin Nitafanya Kama Alivyokufanyia Au Zaid.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.