Recent content by Ally Msangi

  1. Ally Msangi

    JamiiForums Tanzania Nimejiuzulu rasmi nafasi yangu ya Ujumbe wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Maamuzi sahihi kabisa my brother.
  2. Ally Msangi

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

    Hii nchi bwana, sasa kwanini wao hawaja jitokeza na kuthibitisha hizo tuhuma alizo toa pole pole kuwa sio za kweli ni uzushi tu.
  3. Ally Msangi

    JamiiForums Tanzania How to Get the Best Flight Deals to Arusha

    Are you planning a trip to Arusha? Whether you're heading there for an exciting safari, business meetings, or just to explore the city, finding an affordable flight is important. Luckily, Skylink Online can help you get the best flight deals. As a trusted platform for booking domestic and...
  4. Ally Msangi

    JamiiForums Tanzania Job Opportunities at CMS Tanzania Limited, April 2022

    CMS (Tanzania) Limited is a highly respected mineral exploration drilling company with operations in Tanzania. An industry leader in safety with ambitious growth strategies, we are seeking applications for a dedicated and professional Supply Chain Manager East Africa who would like to join our...
  5. Ally Msangi

    JamiiForums Tanzania SoC01 Njia 5 Bora za Kutatua Tatizo Kubwa la Ajira Kwa Vijana Nchini Tanzania

    Andiko zuri sana kijana. Safi sana.
  6. Ally Msangi

    JamiiForums Tanzania App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi

    Kwa jinsi nilivyo ona kwa wasio tumia Chrome hawata weza ku access hii app.
  7. Ally Msangi

    JamiiForums Tanzania App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi

    Asante kwa maelekezo. Nimeijaribu na ina work vizuri tu. Japo sijajua kwanini mna mpango wa kuondoa App zilizopo kwenye Google na Apple stores? Ila all in all, it works fine kabisa.
  8. Ally Msangi

    JamiiForums Tanzania Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

    Tatizo ni ule wosia ulio wasilishwa ulikuwa na utata. Hata kama ulikuwa ni kweli umeandikwa na mzee mengi basi hakutumia busara kuwaondoa watoto wake kwenye mgao wa mali.
  9. Ally Msangi

    JamiiForums Tanzania Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

    Kwa ufupi tu ni kuwa "Mahakama kuu imetupiliaa mbali wosia wa marehemu Reginald Mengi na kumchagua mtoto wa marehemu Abdiel Mengi na kaka wa marehemu Benjamin Mengi kuwa wasimamazi wa mirathi" hivyo zile mali alizo pewa Jaqueline mengi na wanae kwenye wosia wa awali sio halali. hivyo zina...
  10. Ally Msangi

    JamiiForums Tanzania Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

    Acha uvivu soma taarifa na utaelewa.
  11. Ally Msangi

    JamiiForums Tanzania CAG: ATCL imetengeneza hasara ya Tsh. Bilioni 153.542 ndani ya miaka Mitano

    Wapigaji wamekuwa ni wengi sana awamu ya JPM
  12. Ally Msangi

    JamiiForums Tanzania UVCCM yaomba radhi vijana, yaahidi kumpa ushirikiano Rais Samia Suluhu Hassan

    Tusha anza kuelewana. Watajitokeza sana kuomba radhi safari hii.
  13. Ally Msangi

    JamiiForums Tanzania Assistant Internal Auditor at Tanzania Reinsurance Company Limited

    [emoji106][emoji106]
  14. Ally Msangi

    JamiiForums Tanzania Ontario (Sirjeff) ametuleta fursa kwa mara nyingine

    Punguzeni povu. Hajalazimisha mtu. Kama unaona 40k ni nyingi sio lazima ushiriki. Wapo watakao ona kuna umuhimu wake wataenda.
  15. Ally Msangi

    JamiiForums Tanzania Bloggers tujadiliane kuhusu kuzimwa kwa matangazo

    Kuna form ya ku appeal kuomba kurejeshewa matangazo. Google utaipata hiyo form ujaze.
Back
Top Bottom