Recent content by Ally Mbaga

  1. A

    JamiiForums Tanzania Napenda kufahamu juu ya hawa mbuzi

    Kaka unaweza nisaidia namba za wafugaji mbuzi mixer na mm pia?
  2. A

    JamiiForums Tanzania Je, LBL sio Matapeli kama Matapeli wengine?

    Huu utapeli msiufate
  3. A

    JamiiForums Tanzania Ufahamu kuhusu eneo linaitwa Kisopwa Wilaya ya Kisarawe

    Kisopwa kwa sasa maji ya bomba yapo,umeme upo,barabara iko chini ya tan road so inarekebishwa mara kwa mara. Potential kwa baadae once mloganzila ikijengwa ikaisha. Kwa sasa viwanja vya 20x20 ni million 4 na kuendelea. Watu wananunua na kujenga na km watu wawili nawajua wameshahamia tayar kati...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Ufahamu kuhusu eneo linaitwa Kisopwa Wilaya ya Kisarawe

    Maji ya bomba yapo muda tuu ss
  5. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu biashara ya Mbuzi

    Kaka naomba namba yako unisaidie hizi info na mm maana kiwandani nilishaenda ila baada ya kwenda singida kuona bei ya mbuzi nikaona kama itanikata so nauhitaj wa kufundishwa hii kitu plz
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

    Uiishapiga hesabu wakiwa mbuzi 200 unapata kias gan kila wiki?
  7. A

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Wadau natafuta Mashine za uwakala za NMB na CRDB hata kama nizakununua kwa mtu pleasee. Namba za mawasiliano 0744 79 36 78
  8. A

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Naomba namba yako nikucheck ili unipatie nazihitaj hz kwa ajili ya Girl Friend wangu na mm mwenyewe namba zangu ni 0744 79 36 78
  9. A

    JamiiForums Tanzania Japhet Hasunga: Deni la kodi ya Ths trilioni 300 za makinikia ni aibu kwa nchi, hazina uhalisia

    OK so mchango wako ni upi? Atleast tujaribu ku establish na kuimpliment policies ambazo zitawabana kidogo na kutupa return km hii ya trillion 300 au tuwaachie tuu wale wanavyojisikia? Maana nataman kujua ur point point of argument.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Naomba tuwasiliane nimekutumia contacts inbox
  11. A

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, nani kakushauri kununua Treni zenye muundo mbovu namna hii?

    Hzo za kisasa bullet train sisi kwa sasa hatuna uwezo wa kununua ni very expensive. Pia running cost yake nikubwa wangeleta hzo tungepiga tena kelele kwemye nauli
  12. A

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Naombeni connection ya biashara ya ng'ombe. Kununua mkoani na kuja kuuza Dar hapo Pugu
Back
Top Bottom