OK powa maana mm napenda amani na ninajua sote tuliyoko humu so wqtoto na tunaakili timamu ulitakiwa kunijbu kistarabu na majibu yako hayaendani kabsa brother mm so vile ulivyo nifikili na usimzarau mtu maana humu mtandaon kuna watu tofaut tofaut sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana kurudisha shukuran kwq wqtu weng hawajui matumiz ya mtanfmdao wanatoa matuc lakn hii mitandao iko sawq maana inatukutanisha na marafiki na watu tulioyo potezana nao lakn weng wetu wanitumia vibaya hasa pale mtu anapo omba ushauri au anahitaji kitu flana wanaanza kutoa matuc mt u...
Mmmh vigezo kuliko mganga WA jadi kama vile unatafta DAWA ya ndagu duh we noma sanaaa hii ni hataree Mimi ni mwembamba na sina elimu rangi yangu MAJI yakunde mrefu lakin so sana mradi wa kuniingizia pesa sina kama utakuwa tiyari kubiwezesha sawa kabila yangu ndo hiyo usiyo ipenda uliyo itaja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.