Ukifanya Mapenzi siku ya pili baada ya hedhi unaweza kupata Mimba?

Naomba kuuliza wadau.nilisex tarehe 11 saa kumi na moja jioni.na nikatumia vidonge vya P2 tarehe 12 SAA name mchana.siku ya hatari kabisa no tarehe 14.he kuna uwezekano wa kupata mimba
 
Naomba kuuliza wadau.nilisex tarehe 11 saa kumi na moja jioni.na nikatumia vidonge vya p2 tarehe 12 SAA name mchana.siku ya hatari kabisa no tarehe 14.he kuna uwezekano wa kupata mimba
Hapo unaweza kupata mimba tena Toto la kike ka mzunguko wako ni mrefu
 
Naomba kuuliza wadau.nilisex tarehe 11 saa kumi na moja jioni.na nikatumia vidonge vya p2 tarehe 12 SAA name mchana.siku ya hatari kabisa no tarehe 14.he kuna uwezekano wa kupata mimba
Hafu hzo p2 sio nzuri kiafya usipende kuzinywa hovyo baadae usije juta
 
Ushampa au ndio unataka ukimaliza leo ukampe? Si mtumie mpira? Usisahau kunitumia video ya zoezi lenyewe ili tuone kama uwezekano wa kupata mimba upo au lah
Hivi condom zinauzwa sh.ngap siku hizi
 
Naomba kuuliza wadau.nilisex tarehe 11 saa kumi na moja jioni.na nikatumia vidonge vya p2 tarehe 12 SAA name mchana.siku ya hatari kabisa no tarehe 14.he kuna uwezekano wa kupata mimba
Ulipigwa ukiwa kwenye mkao gani? Labda tuanzie hapo. Afu inaonekana unaogopa mimba kuliko ukimwi
 
Back
Top Bottom