Nahitaji rafiki wa kiume wa kubadilishana naye mawazo

Natafuta rafiki wa kiume kwaajili ya kubadilishana mawazo.. Am not single

Napenda awe rafiki ambae anaexperience na maisha hasa utafutaji pesa na Mahusiano.
Nipo na ninauzoefu ya miaka 6 nitafute 0765937978 kam utaniii
 
Haupo single.

Unahitaji rafiki kwa ajili kubadilishana mawazo katika nyanja za uchumi na mahusiano

It sound like your back up plan
 
Natafuta rafiki wa kiume kwaajili ya kubadilishana mawazo.. Am not single

Napenda awe rafiki ambae anaexperience na maisha hasa utafutaji pesa na Mahusiano.
hehehe dah kuna watu wana maigizo zaid ya bongo movie wallah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom