Recent content by Ally bin shaib

  1. A

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif Akutana na Wazanzibar wanaoishi Dar (Bara), Tanganyika

    je ikiwa mzazi wangu mmoja mzanzibari na mwengine mtanganyika nimezaliwa tanzania bara utanipa hukumu yako
  2. A

    JamiiForums Tanzania Padre amwagiwa Tindikali huko Zanzibar

    hivi tukirejea tukio la kupigwa risasi Mapagre je silaha zilizotumika zilitoka wapi? na nani anaetoa vibali vya kumiliki silaha, na zanzibar haikupakana na waasi wenye kupenyeza silaha... maana wenye kibali cha kumiliki silaha wanaulizwa ilitumika kwa sababu gani?... uchunguzi wa serikali upite...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Padre amwagiwa Tindikali huko Zanzibar

    haijulikani kama uamsho ndo wamehusika au viongozi wa makanisa wenyewe. maana siku hizi mtu akikuchukia silaha yake ni tindikali, je shehe wa Arusha kamwagiwa tindikali na Uamsho au wakristo. tuache uchunguzi wa polisi.....over!
  4. A

    JamiiForums Tanzania Nini kinakufanya (Mwanamme) ukanunue wanawake wanaojiuza?

    Iweje ufuge ng'ombe wakati nyama na maziwa vinapatikana dukani? pili mwanake wako akijifungua,akiwa kwenye siku,siku nyengine hajisikii kufanya tendo ndio maana 2natafuta wanawake wa kununua
  5. A

    JamiiForums Tanzania Eti bado naogopa kupenda tena....!!!

    kama amekuridhi ya nin kuidhulum nafsi
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mnawaruhusu wake zenu kwenda kuoshwa miguu saloon - angalia yanayofanyika huko

    wa2 wapo kazini ila akijipendekeza mwenyewe hakuna ajizi
  7. A

    JamiiForums Tanzania upepo unapogeuza gauni kuwa chupi,bofya hapa ushuhudie

    makusudi au bahati mbaya?
  8. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

    nna hisi kukosewa kwa somo la dini kwenye kusahihishwa kwa form 6 2012 kitendo hicho hakikuwa poa ila waislam 2kazeni msuli c kubweteka na vicngizio m2 atavuna alichopanda tu
  9. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

    shule zetu za akina kayumba ziko hali gani jamaniiii!
Back
Top Bottom