Hawa watu ni hatari huwa hawakosi kitu cha kusema na kupoteza ushaidi kwa kuleta vitu vya kuwashangaza watu.wanashindwa kuelewa kuwa watu wa sasa sio wale wa enzi ya malimu.wanatakiwa kuwajibika kwa ilo kamanda siro uliangalie kwa kina.haya matendo yamekisiri ktk nnchi hii mwisho utafika...
Watanzania kila kinacho anzishwa lazima kipate washaabiki sio wadadisi mambo yakikua wanabadilika na kulalamika upya na kwa stail tofauti tukemee maovu kabla hayajakua mazoeya ili taifa letu libaki na amani ya kudumu.hekima na staha ndio sifa ya watanzania tuangalie haya.
Mnalenu tu si bure mmeshapewa vijisenti na mitandao mingine inayopigwa bao na Halotel mnaanza kuleta mauzauza kwendenizenu.kwani hamkutambua mapema? mka wazuiya hadi Leo? Msituchanye.
Kila Mtego ukitegwa unanasa tu hatupinduki kwa( k)hawa jamaa wana mbinu kubwa kiutawala watatawala tu Africa mashariki bila tabu.wana mademu wakali sana tusubili tone.
Hii siasa mbaya sana haifanani ila inapewa jina tu tuwe makini na hili huwa linaanza polepole mwisho jina linakua.halafu tunaendelea kutokomeza wenyejina ili waishe ndio turudi kwenye uchaguzi angalieni tulinde amani yetu tusijivuruge kwa maslai yasio na msingi kwetu sisi watawaliwa.huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.