Maandalizi yanaendelea, wanaodhani Korea Kaskazini atapona waendelee na udhanifu wao

Obugwa Izoba

JF-Expert Member
Nov 16, 2013
9,917
10,314
Kunaendelea kukucha sasa maseneta wote wameitwa white house kujiandaa na Korea

The entire U.S. Senate has been invited to the White House for a briefing Wednesday on the North Korea situation, amid escalating tensions over the country’s missile tests and bellicose rhetoric.

The USS Michigan, a nuclear powered Ohio class submarine will pull into the South Korean port of Busan for a hull check in the coming hours, military sources confirmed Monday to Fox News

The Ohio class submarine will later join the USS Vinson aircraft carrier strike group for exercises in the Sea of Japan.

Dude lingine limewasili

9ef124a89aa37bc4ac0a9d0554bbf3ee.jpg

bf6227104868f470e1aa7ade4dd44541.jpg

Source: Fox news
 
Lkn wewe siyo Mzungu!
 
Hawamuwezi North Korea bila Kumtumia China kukata mahusiano ya kibiashara na North Korea lakini nakushangaa kushabikia uonevu unaofanywa na marekani huko North Korea, je hujui kuwa hata Tanzania ikiamua kujitegemea bila wao na kujilinda kijeshi, Marekani atapanga kuipiga huku akisema 'Tanzania ni nchi hatari duniani lazima ipigwe' MWENZAKO AKINYOLEWA ZAKO TIA MAJI.
 
Kwa hiyo wewe umekunywa na kulewa hizo propaganda za Mawigi?
 
Ha ha ha! Jamaa alishasema suala la NK liko mezani kwake at the same time Makamu akaonekana kwenye binocular "akimchungulia" Kiduku huku akipewa briefing na makamanda halafu ipite hivi hivi; thubutu! Jamaa watakula kichapo kitakatifu ambacho hawatasahau. Kiduku kumtawaza mwanawe wa miaka 7 kuwa "mfalme" mtarajiwa maana yake nini? Anajua wazi siku zake ziko ukingoni ama kwa risasi au kukatwa kichwa. Ni suala la muda tu.
 
sio propaganda au unadhani Trump anafany maamuz mwenyew wapo masenetta na kwahili hata maraisi wastaafu viongoz wa majesh yote ya marekani na idara za kijasusi
 
korea hata amini kitakachotokea atazungukwa alafu atapigwa lakushtukiza kweny nyuklia zake marekani sio mjinga acha azubaishwe
Project kubwa zaidi ya Trump nje ya US kwa sasa ni suala la NK. Kiduku anatoka apende asipende. NK inaenda kupata utawala na serikali mpya ya kidemokrasi kwa maana ya neno lenyewe na sio demokrasia za maigizo.
 
Hawamuwezi North Korea bila Kumtumia China kukata mahusiano ya kibiashara na North Korea lakini nakushangaa kushabikia uonevu unaofanywa na marekani huko North Korea, je hujui kuwa hata Tanzania ikiamua kujitegemea bila wao na kujilinda kijeshi, Marekani atapanga kuipiga huku akisema 'Tanzania ni nchi hatari duniani lazima ipigwe' MWENZAKO AKINYOLEWA ZAKO TIA MAJI.
Mm korea inanisaidia nn marekani inasaidia Tanzania naomba korea ifutwe kabisa kwenye uso wa dunia
 
Kunaendelea kukucha sasa maseneta wote wameitwa white house kujiandaa na Korea

The entire U.S. Senate has been invited to the White House for a briefing Wednesday on the North Korea situation, amid escalating tensions over the country’s missile tests and bellicose rhetoric.

The USS Michigan, a nuclear powered Ohio class submarine will pull into the South Korean port of Busan for a hull check in the coming hours, military sources confirmed Monday to Fox News

The Ohio class submarine will later join the USS Vinson aircraft carrier strike group for exercises in the Sea of Japan.

Dude lingine limewasili

9ef124a89aa37bc4ac0a9d0554bbf3ee.jpg

bf6227104868f470e1aa7ade4dd44541.jpg

Source: Fox news
Wabongo bwana,vitu vya wazungu tunavijua kindakindaki,......ukiulizwa tu kuhusu mauaji yanayoendelea nchini kwako wala huna muda wa kufuatilia!
 
Back
Top Bottom