Recent content by Alluta123

  1. A

    Ushauri: Natamani iwe mwisho wa mahusiano yangu na huyu mke wa mtu

    Maelezo yako yanaonesha mnapendana eeh! Maana kila ukijaribu kuachana nae,ukimwona tuu msimamo wote kwisha kabisa.Itakuwa anakufadhili na ndiyo sababu inayokufanya kupoteza mwelekeo.TAFAKARI....CHUKUA HATUA
  2. A

    Cheza bila kukunja goti…! (ukivua nami’n’tavua)

    Wewe ni mtunzi bora kabisa,kwani unaweza kukielezea kisa msomaji akawa anakiona kama kwenye luninga.Hongera
  3. A

    Cheza bila kukunja goti…! (ukivua nami’n’tavua)

    Kama napaona Tumbelo vile!!!
  4. A

    Huyu mke vp?

    WANAWAKE wakishazaa watoto mapenzi huhamia kwa watoto.Hivyo basi kaa nae chini umweleze yanayokusibu.Natumai mtaelewana.
  5. A

    Kama Mbowe na Zitto watabaki CHADEMA njooni mchukue kadi yenu

    Ukiwa kama kiongozi/mwanachama natumai umeisoma na kuielewa vyema katiba ya chama chako,inaelekeza namna ya kushughulikia matatizo/mizozo kama hiyo.Sidhani kwa wewe kujitoa ktk chama kutasaidia kupunguza/kuondoa mizozo.Tafakari kwa kina kuliko kulikimbia tatizo......PAMPANA KWA MUJIBU WA KATIBA...
  6. A

    Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

    Maji ya shamba-Kondoa mjini.
  7. A

    Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    mh! kauli zote ni kali mno.Pengine hawakumaanisha walichokisema!
  8. A

    Mbona Majanga

    itaendelea lini tena mkuu!
Back
Top Bottom