Recent content by ALLGASSIM HASSAN

  1. A

    JamiiForums Tanzania Yamaha outboard engine inauzwa

    Yes ile moja ni 250hp mziki mzito
  2. A

    JamiiForums Tanzania Yamaha outboard engine inauzwa

    [emoji1787]
  3. A

    JamiiForums Tanzania Yamaha outboard engine inauzwa

    Tena hyo bei ya used
  4. A

    JamiiForums Tanzania Yamaha outboard engine inauzwa

    Habari, nauza hi Yamaha boat engine kwa bei poa kabsa ikiwa kweli hali nzuri karibia mpya. Yamaha 115 Fuel injection Fourstroke Petrol 115hp Bei 11m negotiable mapatano kdg Pia nakubal exchange 0778920344 [ATTACH type="full" alt="
  5. A

    JamiiForums Tanzania Wavuvi wa samaki wana shida gani mbona hawatajiriki?

    Hivi boti ya uvuvi au utalii ni ipi inalipa? Zaidi
  6. A

    JamiiForums Tanzania Wavuvi wa samaki wana shida gani mbona hawatajiriki?

    Yaan kutafuta hela ni rahisi kwa wale wasioweza kuzitunza ?
  7. A

    JamiiForums Tanzania Mifumo rafiki kwa watumiaji boti kwa shughuli mbalimbali.

    Nadhani gharama ya nauli haitokuwa rafiki
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Ukipata naomba nijiunge pia
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Bei ya dsm ni ngap? Na soko lake liko wapu vipi inaruhusiwa kutoa nnje ya nchi?
  10. A

    JamiiForums Tanzania Fursa usafirishaji wa bidhaa kwenda visiwa vya Comoro

    Hi boati inayokod8wa mil 45 ni usawa upi uzito ?
  11. A

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Uvuvi itoe kipaumbele kwa Wavuvi Wadogo na wa kati

    Nchi ina mambo mengi sana nilipambana mpka nikachoka sikupata hata harufu ya boti
  12. A

    JamiiForums Tanzania Biashara ya usafiri wa baharini kati ya mikoa ya pwani Tanzania inazuiwa na nini?

    Natoa maoni yangu! 1. Kuhusu gharama :- Usafir wa bahari una gharama kubwa kwa wawekezaji hivyo hupelekea kuwepo nauli kubwa na asilimia kubwa ya wasafir wanashindwa kulipia hasa wafanya biashara kukiwepo njia mbadala wanaona ni bora njia rahisi! 2. Na kuhusu muda Bahari inaweza kuwa kuwa...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Biashara ya usafiri wa baharini kati ya mikoa ya pwani Tanzania inazuiwa na nini?

    Mueda ! , Tunataka hyo huduma ya bahar barabara ni mbovu [emoji3]
  14. A

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa na Katibu mkuu wa wizara nani zaidi

    Naomba nikujib kwa uelewa wangu Katibu mkuu anapokuja mkoan husika atapokea amri ya mkuu wa mkoa ila katibu mkuu atakuwa na nguvu kwa kutoa amri kwnye wizara yake husika kwa hyo unaposema nani ana nguvu mwenye nguvu mkoani atakuwa mkuu wa mkoa ndio mana limetumika neno (mkuu wa mkoa) na katibu...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Kwa wadau wa vyombo vya majini, boti ndogo na Jet Ski Kwa ajili ya uvuvi,utalii na michezo

    Habari! Mimi naitaji kuingia kwenye biashara ya uvuvi baharini! Ningependelea kutumia fiber boats sasa nataka kujua gharama kuanzia bei ya boat (25fts urefu na upana iwe 6fts) na bei ya engine inayowez kufaa hapo na vitu gani nitahitaji kwenye kaz hyo na gharama zake , pamoja na usajili wa...
Back
Top Bottom