Recent content by Allency

  1. A

    JamiiForums Tanzania Unakuta mwanamke ana miaka 25, lakini tayari amekuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanaume zaidi ya 15

    Hata mimi nimeshangaa sana. Idadi ndogo sana hiyo
  2. A

    JamiiForums Tanzania Je, ulikuwa unajua kuwa ndege za abiria za Israeli zinaweza kujilinda dhidi ya makombora?

    Kobazi ni watu wanaovaa kanzu na kobazi miguuni. Wanaamini adithi za mudi
  3. A

    JamiiForums Tanzania Nimeweza kutengeneza App kwa kutumia AI

    Safi sana ila kwa Nairobi Kibra ndiyo wapi?
  4. A

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje mtu anachagua akifa achomwe (Cremation) mimi huwa naona kama ni Cult

    Dah, eti soma majibu yangu yote😂😂😂 Kumbe hata hujui unachoongelea. Ujuaji mwingi.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje mtu anachagua akifa achomwe (Cremation) mimi huwa naona kama ni Cult

    Unaweza kuniambia ishu ya kisayansi ni ipi na mimi wapi nimeleta mambo ya kiimani?
  6. A

    JamiiForums Tanzania Makonda: Waandishi natamani leo mniulize maswali magumu, sitafuatilia kama una Ithibati

    Hakuna mwandishi mwenye guts za kuuliza swali kama hilo. Watakao uliza maswali lazima ameshawapanga maswali gani wamuulize
  7. A

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje mtu anachagua akifa achomwe (Cremation) mimi huwa naona kama ni Cult

    Mambo ya uchawi ni mambo ya kiroho na siyo ishu za physical. Sasa unataka nikuthibitishieje mambo ya kiroho katika ulimwengu wetu huu? Acha ujuaji.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje mtu anachagua akifa achomwe (Cremation) mimi huwa naona kama ni Cult

    Nzuri sana hiyo, mambo ya kuliwa na wachawi mara kufufuka yanakuwa hayapo tena
  9. A

    JamiiForums Tanzania Pata Mbwa aina ya German Sherpherd na Boerboel kwa bei nafuu dar na mikoani tunatuma

    Mbona hakuna bei? Weka bei ya Dar mikoani unaweza sema inategemea na distance kutoka Dar
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chalamila ameagiza Wananchi Wanunue Dustbin, Lakini Gari la Taka Mtaani Kwetu Halijapita kwa Miezi 3

    Sehemu yq kuwekea taka ni jambo la kumwambia mtu?
  11. A

    JamiiForums Tanzania Lissu: Kingai kasema hayupo tayari kutoa ushahidi upande wangu.

    Je huo ni mtazamo wa nani ? Mimi nikisema Heche alikuwa shahidi na alimtetea Mh. Lissu. It's just your words against mine gentleman 😂. Tuliza kichwa kaka.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Lissu: Kingai kasema hayupo tayari kutoa ushahidi upande wangu.

    Watu waliamini nini ambacho siyo kweli bali ni porojo?
  13. A

    JamiiForums Tanzania Lissu: Kingai kasema hayupo tayari kutoa ushahidi upande wangu.

    Gentleman,umekula kwanza leo? Tuliza akili basi. Kawaita kama mashahidi wake, waje wasije, wamkaange au wamtee is out of his control. Relax utafute hoja ya kesho uvune
  14. A

    JamiiForums Tanzania Sandaland Kuiburuza Mahakamani Wizara ya Michezo Kuhusu Jezi za Taifa Stars

    Bashite mbona ana kesi nyingi sana mahakani na huwa hatusikii mwisho wa hizo kesi zake. Ngoja CCM watoke madarakani atajua hajui
Back
Top Bottom