Recent content by allenbina

  1. A

    JamiiForums Tanzania TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

    Kwili Sent using Jamii Forums mobile app
  2. A

    JamiiForums Tanzania Je, CHADEMA hawaelewi maana ya Lockdown?

    Kweli, hawa jamaa akili zao wanazijua wenyewe Sent using Jamii Forums mobile app
  3. A

    JamiiForums Tanzania MADA: Fahamu kuhusu matumizi au ulaji wa mafuta kwenye gari aina ya Toyota harrier 3.0L (2990CC)

    Mimi bado nashangaa, naona harrier hybrid yangu inakamua hadi 8km/L mjini na sijui kwanini wakati battery inaonekana ziko sawa. Naomba ushauri. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. A

    JamiiForums Tanzania Hili gari BMW 7 limerogwa?

    Habari. Naomba uniunganishe na mzee ili anisaidie kupata fundi wa Harrier hybrid Sent using Jamii Forums mobile app
  5. A

    JamiiForums Tanzania Umewahi ziona hybrid cars hapa bongo? Je, zinastahimili changamoto mbalimbali? Wataalamu karibuni!

    Tatizo siyo hali zetu. Siwezi kupata uwezo wa kuagiza gari ya zaidi ya $10000 afu nikashindwa kuagiza spare ya $2000. Dunia ameishakuwa kijiji, tunanuna online, cash kupitia makampuni kama Beforward nk.Gari nyingi moya zikitoka mafundi wa nchi utukatisha tamaa eti hazifa lkn mwisho wake uja kuwa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Umewahi ziona hybrid cars hapa bongo? Je, zinastahimili changamoto mbalimbali? Wataalamu karibuni!

    Ukweli ni kwamba hybrid cars ni gari bora zaidi na tunapoelekea miaka michache ijayo hizi ndizo gari zitakazotawala soko la dunia. Mfano, mwaka ujao Toyota watayoa Landcruiser V8 hybrid. Mafundi wetu wa Tanzania wanapashwa kubadilika, wajifunze kuendana na Tecnolojia kuliko kuipinga kwa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Umewahi ziona hybrid cars hapa bongo? Je, zinastahimili changamoto mbalimbali? Wataalamu karibuni!

    Mimi ninayo barrier hybrid hivyo nadhani msaada nitauhitaji siku ikifika Sent using Jamii Forums mobile app
  8. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji toyota harrier new modal( hybrid) offer yangu ni milioni 12

    Gari ya 40M- 80M mtu anatoa ofa ya 12M Tanzania hatuko serious Sent using Jamii Forums mobile app
  9. A

    JamiiForums Tanzania Naomba nijue utumizi wa mafuta wa Harrier Hybrid

    Harrier ya kawaida (2003-2013) 9-11km/L. Harrier hybrid( 2005-2013) 17.8/L Harrier hybrid(2014-2020) 21km/L Sent using Jamii Forums mobile app
  10. A

    JamiiForums Tanzania Mbowe hana pa kuponea kama ushahidi wa video utatumika

    Mara ngapi mtuhumiwa anaachiwa an kufunguliwa kesi mpya an kikamatwa tena hapo hapo? Kaa chonjo
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mbowe hana pa kuponea kama ushahidi wa video utatumika

    Wekeni hakiba ya maneno
  12. A

    JamiiForums Tanzania Mbowe hana pa kuponea kama ushahidi wa video utatumika

    Upupu mtupu
  13. A

    JamiiForums Tanzania Sasa ni rasmi Mchungaji Msigwa aizika CCM Iringa Mjini

    Nilidha 2015 iliacha fundisho kuwa mafuriko yanaweza kuzuilika kwa mikono kumbe bado. Pia nilidhani kilichotokea Afrika Kusini nayo ilikuwa fundisho kwa upinzani kumbe nayo bado. INASKITISHA SANA AKILI KUTIWA GIZA KIASI HIKI.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amewahi kuwa Mbunge, na Waziri pia huko nyuma. Sikuwahi kuusikia mchango wake wowote Bungeni, je kuna mwenye kukumbuka mchango wake?!

    Alishalitolea ufafanuzi hili kuwa yeye siyo mwanasiasa mzuri, yeye ni mtendaji zaidi
  15. A

    JamiiForums Tanzania Wakurugenzi wa Halmashauri wataendelea kusimamia Uchaguzi wa Madiwani, Wabunge na Rais Kama zamani

    Naiona mahakama ya rufani ikitengua maamuzi ya mahakama kuu
Back
Top Bottom