Recent content by Allen Theonest

  1. Allen Theonest

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa wateja wetu wa Umeme waliounganishwa kwenye gridi ya taifa

    Mwanza hakuna umeme...
  2. Allen Theonest

    JamiiForums Tanzania Unatengeneza tatizo na unalitatua halafu unataka tukushangilie!!

    Achana na Mange, jibu hoja ya mleta mada
  3. Allen Theonest

    JamiiForums Tanzania BAD NEWS: Mwandishi Finnigan Simbeye wa The Guardian aokotwa akiwa hajitambui, amepigwa vibaya jijini Dar

    Halafu akaenda kumtupa bunju..??? Mtu ambaye anagombaniwa na serikali kila kona saivi???? Nikiikubali hiyo ripoti ya "weledi" kama ulivoiita nikapimwe akili
  4. Allen Theonest

    JamiiForums Tanzania Msitarajie Man City kumfunga Man Utd

    [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
  5. Allen Theonest

    JamiiForums Tanzania Polisi Mwanza wamehusika na kifo cha kichanga (Kisa cha kusikitisha).

    But it is the fact and reality
  6. Allen Theonest

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Serikali waliopandishwa vyeo 2015/16 sasa kusomeka kuwa wamepanda vyeo tarehe 01 Aprili 2018

    Hiyo siyo justification kwa blunder inayofanywa na serikali yako!!
  7. Allen Theonest

    JamiiForums Tanzania Upinzani andikeni barua upinzani ufutwe

    Naunga mkono hoja, hakuna maana yoyote ya kuwepo upinzani Tz kwa uhalisia uliopo kwa sasa bongo. Inaonekana wazi kuna juhudi za makusudi nyuma ya pazia kufrustrate upinzani ili wafreeze. Sioni mantiki ya kuingia kwenye ndondi wakati boxer mmoja amefungwa mikono na miguu, wakati boxer mwingine...
  8. Allen Theonest

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Zamani tuliona nchi hii ina udikteta uchwara, ila sasa ina udikteta kamili

    Serikali yako imewasaidia nini?? Kwani hao mahabusu ni wapinzani??? Kama watu kama kina Mbowe hawakupelekwa mahakamani kwa kisingizio cha gari ni bovu vipi wale wengine huko ndani?? Kila taasisi ime paralyse sababu mkulu anadhibiti kila kitu halafu unamlaumu Lissu!!! Pathetic!!!
  9. Allen Theonest

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini hawakukemea mauaji Kibiti? Ushahidi wa barua huu hapa

    Cheap way of running from the qtn
  10. Allen Theonest

    JamiiForums Tanzania Askofu Fredrick Shoo: Wale wote wanaojaribu kupotosha ukweli wa waraka wa Maaskofu kwa kuupaka matope ni wajinga

    Kama sadaka zimepungua, so what???? Ati mafisadi walikuwa wanatoa sadaka, hao mafisadi walikuwa wanaletwa kanisani na maaskofu??? Ni mafisadi wangapi wamefikishwa kwenye ile mahakama yenu???? Kumbe Jiwe naye ni mpiga kelele tu kama wengine wote, amejaa hukumu dhidi ya watu wake, mahakama si...
Back
Top Bottom