Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,372
Kuwe na chama kimoja ambayo ni CCM Tanzania.
Itakuwa busara ulimwengu ujue Tanzania upinzani umeshindikana,ni vizuri CHADEMA NA CUF waandike barua kwa msajili mkuu wa vyama vya siasa na umoja wa mataifa kwamba wameshindwa kutokana na haki ya kidemokrasia kuminywa,ingawa kuna vyama vile vya upinzani vya kujipendekeza ila chadema na CUF waandike barua ya kujitoa kwenye upinzani.
Viongozi wengi na vijana wanaopoteza maisha ni wapinzani.
Chama tawala wapo majukwaani ila wapinzani hawaruhusiwi
Viongozi wanaowekwa mahabusu ni upinzani tu
Bunge live imeondolewa kwa sababu ya wapinzani.
Upinzani kubalini kufuta mfumo wa vyama vingi,shawishini vyama vingine ibaki mfumo wa chama kimoja.
Upinzani ukifutwa itabaki chama tawala hakuna watu watakaopoteza maisha,coco beach hatutaona vifusi,wasiojulikana hawatakwepo,tutakuwa chama kimoja,Tanzania ijulikane mfumo wa chama kimoja,ukishindikana tutaanza upya.
Upinzani wakiandika barua za kufuta vyama vyao ina impact zaidi kuliko hizi harakati.
Ingawa najua hii tume ya uchaguzi inayotishia kufuta upinzani wakipata hiyo barua watagoma pia.