Wewe acha kuwa na roho mbaya mkuu siyo kweli kuwa na simu ya 5G au ya gharama kubwa inaweza kukupa kila kitu ebu acha watu waelimishe wenzao ww mwenyewe usingeenda darasani usingeijua ata hiyo google.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 37, Kibaha, Pwani, ni mwajiriwa sekta binafsi, ninamkaribisha mwanamke mwenye uhitaji kama mimi wa kuunda familia ani PM tuchati.
Ndgu wanajamiiforams naombeni msaada wa kuelekezwa namna ya kufikisha viatu hivi katika soko la nchini Botswana kwani naamini kuna watu watanisaidia jinsi ya kuifikisha huko, na bei huko wananunua kwa pula ngapi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.