Ndugu zangu Wana jukwaa hili. Nategemea kutoa andiko kwa vijana. Kutokana na uzoefu wako naomba unisaidie kujibu haya maswali yangu.
1. Ni jinsi gani kijana anatakiwa aishi ili kuwa na furaha bila uchumi/kipato?
2. Ni jinsi gani kijana anatakiwa kutafuta uchumi/kipato ili aishi kwa furaha...
Si ajabu jamii yyte kuwa hivyo. Pole kwa changamoto hiyo naamini Mungu atakuwa na wewe, lkn Mimi nakushauri kama Kuna kiongozi wa kiroho mwambie ili akusaidie kushawishi pia au kama unauwezo mchukie tu hospital. Kbl ya siku hazijawa nyingi ttzo likaongezeka.
Niliwai kusema siku Moja kuwa: lugha ya kiswahili kwa mswahili ni nyepesi sana,
kutunga na kuvunja sentensi ni jambo la dakika,
Kusifia na kukosoa lugha hii huwa ni kawaida lkn kusifiwa husambaa zaidi.
Lugha inaweza kuwa chanzo Cha kupata au kukosa, kwa wepesi wa kiswahili machawa wataongezeka...
Moja ya kitu ambacho Tanzania kinatusumbua Bado ni woga kwa baadhi ya watu. Nimejalibu kusikiliza hatua kwa hatua suara hili nimeona Bado sana tunajikongoja kuelekea kule. Mtu mmoja anahojiana na bunge Zima yeye ana hoja wao Wana maneno. Sijapenda hii. Lkn acha kazi ienderee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.