Yale maandamano yaliyoshindwa bila ubishi yalikuwa ni ya mbowe kudai demokrasia nchini tz inaminywa. Kwa hiyo Dada Mange akaingilia kutafuta njia ya kumsaidia mbowe na cdm yake na Ukawa kwa ujumla kupitia maandamano haramu ambayo watz wameyakataa katakata. Eti Magufuli step down! Nani ?!!!
Maandamano yale yalikuwa haramu ni kufa na kupona. Mbowe aliwambia mkutano ule mapema. Kuna kufa na kupona ktk maandamano yoyote haramu. Ndiyo maana yale ya Raila Odinga yalihalalishwa kwanza ndipo amani ikatawala. La sivyo, mngesikia vilio.
Hali ni mbaya kwa chadema kila mahali nchini siyo kinondoni tu. Kinafuata nyayo za watangulizi akina UMD enzi zile, akina NCCR M, akina TLP, akina CUF bara na visiwani.
Hongera kwa ujumbe huu ndg Azizi Mussa. Wa Ufipa sidhani km wanaweza kukuelewa. Maana wao wanadhani chama kutetea mafisadi pengine hela zile watakuja kugawiwa bure na rais aliyetokana na mafisadi.
Kumbe sera hii ya awamu ya tano ya kauli mbiu ya hapa kazi inaweza kuleta matokeo chanya +...
Aah hiyo list ya CCM kali Kinondoni na Siha . Vipi list ya chadema wale jamaa takataka?
Sugu, Lema, Mbowe fowadi. Katikati atakuwa Mnyika, Silinde, Mwakajoka, Msigwa. Haonga. Defence, Heche, Maalim Seif, Lowassa. Timu ccm itaibuka mshindi.
Mtulia atashinda uchaguzi kwa vile hakusema uongo hakuwadanganya wanaKinondoni. Alisema wazi kuwa kule Ukawa kumekuwa hovyo, hovyo sana. Bora awe chama moja na tingatinga. Kwa ajili ya maendeleo ya wananchi na siyo kila siku kuhangaika kutwa nzima na siasa za majitaka, takataka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.