Recent content by Allain 282

  1. Allain 282

    Upi mtazamo wako kuhusu idadi ya watoto wa kuzaa kwa maisha ya sasa?

    Zamani wazazi wengi walizaa watoto wengi hata 10+ kwani watoto walikuwa n LABOR FORCE Lakin sasa watoto wanamahitaji mengi sana kiasi kwamba n kaz kuwatimizia ipasavyo na mishahara yetu ya WHITE COLOUR JOB
  2. Allain 282

    Zitto Kabwe amjibu Humphrey Polepole. Asema yupo tayari kukamatwa na hata kuuawa ila mawazo yake hayatakufa

    Kuna uswahili mwingi unaendelea nchini Tz lakin haya c makubaliano yetu mkuu kijiti hiki kimekuzidia kiachie weNye uwezo nacho watakifikisha tunapotakiwa kwenda
  3. Allain 282

    Mwanachama wa Yanga Mwigulu Nchema amrudisha Kocha Pluijm

    siasa zaingia rasmi uwanjani ......twendeni tu
  4. Allain 282

    Mbowe: Naomba makamanda wenzetu muelewe hiki sio kipindi cha kawaida (Awamu ya tano)

    maamuzi magumu yanahitajika jaman la sivyo tutapelekwa kama magari mabovu
  5. Allain 282

    Naomba kujua tofauti iliyopo kati ya (ICT) na (IT)

    jamani naomba msaada wa kuijua vizuri coz hii inayopatikana UDOM iitwayo BACHEROL OF EDUCATION MANAGEMENT AND ADMINSTRATION..Na unakuwa mtu gani katika elimu yaan utawala au pia utafundisha pia au inakuwaje TAFADHALI MSAADA WAKUBWA
  6. Allain 282

    Wanafunzi chuo kikuu cha Dar, wagoma kusaini fedha ya kujikimu (Boom)

    selikali hii inazngua sana lakini mheshimiwa Magufuli kumbuka ahadi zako pale Jangwani wakati ukifungua kampeni zako mwaka 2015 uliahidi mkopo kwa kila mwanafunzi wa Elimu ya juu sas a cjui ndo nin unafanya au ndo uahapata basi kila mtu atajua mwenyewe
  7. Allain 282

    UDOM ndiyo chuo bora Tanzania

    INFACT UDOM NI CHUO AMBACHO NI KICHANGA LAKIN KWA SKU ZA USONI KINAENDA KUWA CHUO KIKIBWA SUALA LA UD AU MUHIMBILI KUWA NA RESEACH NYINGI NI SABAB NI VYUO VYA ZAMZN TANGU 1961 TOFAUTI NA UDOM CHUO CHENYE MIAKA TISA HADI SASA...........................
  8. Allain 282

    TCU hawachagui kwa usawa

    hapo nakushauri nenda kabadili vyuo uongeze vingine idad uinaonesha wenghi walioomba UDSM ndio wameambiwa wrudie nd2 round ...think twice dar ipo tu utakuja kufanya kazi c lazma ussome
  9. Allain 282

    Walimu kupangwa moja kwa moja shuleni

    ajira fasta waachane na kujibebisha na media
  10. Allain 282

    Walimu kupangwa moja kwa moja shuleni

    watoe ajira watu wanaumia kitaa
  11. Allain 282

    TCU kushusha GPA mpaka 3.0

    aisee hii Tz yet n vituko upande ELIMU YETU
Back
Top Bottom