Recent content by ALL-NASIRY

  1. A

    Tanzania kuzidiwa nguvu za kivita(kijeshi) na Kenya na Uganda!

    Tanzania ni ya sita kijeshi africa.sielewi huwa mnatumia source gani. Kikosi maalumu cha makomandoo cha tanzania (special force) ni miongoni mwa vikosi hatari 35 duniani. Tanzania ni ya 27 kwa ubora duniani na kwa africa ni cha kwanza kwa ubora.
  2. A

    Maelezo ya Bernard K. Membe, Kuhusu Fedha za Deni la Libya

    Hayo maelezo yote ni propaganda.bado tutasikia mengi sana.
  3. A

    Mafisadi wapanga njama za kumuua Makongoro Nyerere

    Kijana wa mwalimu nyerere ndiye mkombozi aliyebaki.na huyu ndiye kiongozi wetu ajaye.
  4. A

    Mzee Kingunge Ngombale Mwiru kuwadi wa Ufisadi

    Kuna wakati huwa najaribu kufikiri ni nini kinachowasumbua sisi vijana watanzania hususani katika tatizo la kutojitambua. Kabla sijapata jibu nikamuona mzee wetu kingunge anaambatana na wakwapuaji na cha zaidi anawapigia debe kwa nguvu zote: Pale pale nilipata jibu kuwa hili tatizo sugu la...
  5. A

    Hili Tangazo la Timu Lowassa linatudharau!

    Mtu mmoja akiwa ni mbumbu au mpumbavu basi mara zote hufikiri na wengine ni mambumbu au ni wapumbavu. Tunawaomba hiyo video ambayo haijafanyiwa slow motion.
  6. A

    Makongoro Nyerere ametumwa na nani?

    Makongoro ni mbunge wa africa mashariki na mkewe ni jaji wa mahakama kuu familia imemshindaje? Mbona watoto wake wanakula vizuri na maisha yao ni mazuri na wanasoma ktk shule viwango. Kuhusu ulevi mbona hao vibaka ni walevi wakupindukia hamsemi na wanatuibia taifa letu kila kukicha.
  7. A

    Makongoro Nyerere ametumwa na nani?

    Makongoro nyerere ndiye mkombozi pekee wa watanzani kwa sasa
  8. A

    Makongoro Nyerere ametumwa na nani?

    Lazima tuwe na uwezo wa kutofautisha kati ya kumchafua mtu na kusema ukweli. Kwa mfano mkulima bora wa nyanya ukamsifu kwa jitihada zake za ukulima bora wa nyanyq sioni kama kuna makosa. Na fisadi mashuhuri au kibaka katika nchi ukimsifu kwa kwa namna anavyoweza kuiba fedha za nchi kwa ustadi...
  9. A

    CCM ikifanya haya itakuwa imezaliwa upya na watu wengi watarudisha imani iliyopotea

    Hapa uraisi kama si makongoro nyerere ccm basi itakuwa na kazi kubwa. Makongiro ndiye mtu pekee mwenye uwezo wa kukemea bila woga. Na ukimtizama wakati anaongea habari ya rushwa unaona kabisa anakemea toka moyoni.
  10. A

    Lowassa, January, Membe na Mwigulu Wasipokatwa Natupa Kadi Ya CCM !

    Huyo muhongo,Magufuri,mwandosia wote hawana uthubutu kama wa makongoro nyerere.
  11. A

    Upepo umegeuka, sasa ni Makongoro Nyerere!

    Taifa linahitaji watu wazalendo kama hawa.
  12. A

    Upepo umegeuka, sasa ni Makongoro Nyerere!

    Makongoro hana maigizo huyo mzalendo kweli.bora huyo kuliko hao wote waliochukua form. Huyo akisema jambo anamaanisha kitu cha uhakika
  13. A

    Nape amvaa Dr. Slaa

    Nape yuko sawa: Viongozi wetu wa kisiasa iwe wa ccm au upinzani, wanapaswa kutueleza kwa ukamilifu pesa wanazopewa ma mataifa ya magharibi zina masilahi gani lwa vyama vyao na taifa letu. Kwa nini kama wanapokea misaada isiwekwe wazi. Kwa mtazamo wangu muda si mrefu tutawekewa vinaraka.
  14. A

    Lowasa katika ubora wake

    Mcha mungu wa dunia ipi ya wanyonge au mabepari?
  15. A

    Lowasa katika ubora wake

    Mcha mungu wa dunia ipi? Ya wanyonge au manepari?
Back
Top Bottom