Recent content by All bright

  1. A

    Advice to ladies

    and i quote. ADVICE TO LADIES! LADIES! There is one thing i want u to understand about men! Now, when u post half-naked pictures of yourself on facebook, be it you r doing sexy pose, or showing your cleavage, or lying suggestively on your bed..... The only thing u are doing is...
  2. A

    Wafuasi wa Zitto Kabwe v/s wafuasi wa Godbless Lema

    mwenyezimungu anatoa jibu la swali lako katika quran tukufu. mwenyezimungu anajibu hoja hio kwa kukuuliza swali ili wewe mwenyewe na nyinyi wengine muweze kujua kuwa nani ni zaidi. mwenyezimungu anasema hivi HIVI UNADHANI ANAEJUA NA AMBAE HAJUI WAKO SAWA? kupitia swali hilo kama mwenyezimungu...
  3. A

    Askofu na Sheikh Waapa,Kwaajili ya Zitto Tutapiga Goti na Kufunga Kwa Nguvu Zote

    aisee ukisha kubalika sehemu fulani na jamii kubwa inayokuzunguka nayo ikawa imefungua moyo kwako, hakuna ambalo litaweza badilisha hilo. safi sana kigoma, Zitto ni wa kwenu, kijana wenu amekuwa mnamuona, uzuri wake mnaujua, na ubaya wake mnaufahamu,. asije au wasije jamaa fulani hamuwajui...
  4. A

    Tahadhari kwa kina mama wapendao kwenda ufukweni

    hakuna kulazimishana katika dini! ukiona dini ni ngumu kwako, hulazimishwi kuifuata hata kidogo, kuna maneno ambayo kazi yake ni kukashifu watu kadhaa na matokeo yako ni kuzua mizozo baina ya wafuasi wa dini husika, kisha kutengeneza chuki baina ya wafuasi hao.
  5. A

    valuable is covered.

    Valuable is Covered Aisha (radi Allahu anha) narrated: "Asma (radi Allahu anha) came to see the Messenger of Allah (sal Allahu alaihi wa sallam). She was wearing a thin dress. The Messenger of Allah (sal Allahu alaihi wa sallam) turned away from her and said, 'O Asma, once a woman...
  6. A

    Kurugenzi ya Habari CHADEMA vipi?

    la kuchangaza wanachama wengi wa chadema, sasa hivi habari ni kombe la challenge na premium league. mambo ya chadema yakiulizwa tu wanakata kona vibaya sana.
  7. A

    hongera CHADEMA sasa mmekomaa kisiasa

    Hongereni sana kwa kufahamisha wabongo chadema ni chama cha aina gani. Kwa hili mnastahili pongezi
  8. A

    ukweli utabaki kuwa ukweli tu.

    ukweli ndo huu na ukweli siku zote hauwezi changanyika na uwongo, na lazima ukweli ujitenge mbali na uongo. badhi wanataka habari positive tu kuhusiana na chadema wakati hilo haliwezekani kabisa kuwe na habari positive pekee yake. kingine hata kama hawapendi au hawataki kupewa habari za...
  9. A

    Kinana atikisa TAZARA Mbeya,wafanyakazi wampongeza Kikwete

    ccm sasa inasimamia utekelezaji wa ilani maana kazi ya watu wengi wa upande wa pili ilikuwa ni kuponda na kutangaza ubaya tu na wao kujisifia kuwa ndo wanafaa. Sasa hii ndo yenyewe.
Back
Top Bottom