Nape achana na chadema hakuna saizi yako pale wa kulingana nae nenda ukabishane na mambumbu wenzako wa CCM wale sio wenzako na pale usidhani unalingana na mtu yeyote pale so taka care of your dirty mouth nenda kafanye scrub
Uliyoyaandika hapo embu jaribu kusoma mwenyewe then utaelewa wapi ulipokosea
Ndugu yangu mada zako sometimes huwa zinakingana zenyewe ndo hapo huwa nashindwaga kuzielewa nimekuwa mfatiliaji wa jamii forums daily lakini sichangiagi kutokana na kwamba mada nyingine ni kuchafuana na mambo mengine...
who is nape in this country???
Tunaweza kumdefine kama
1)Anayetumiwa na wajanja
2)Ajui analolifanya
3)Mtu mwenye sifa na asiyejua ni kitu gani anakifanya
Akishakaaga na wajinga wenzake basi anaakuja kutuletea shobo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.