Elections 2010 Mh: Zungu akiri C. C. M kupoteza viti zaidi 2015

Chal

Senior Member
Oct 7, 2010
128
52
Mh: Mussa Azzan Zungu katika uchangiaji wa bajeti ya serikali aishauri kambi ya upinzani kukubaliana na kuunga mkono serikali katika masuala yenye manufaa kwa nchi jambo litakalowafanya kupata viti viwili zaidi mwaka 20!5....''...mkifanya hivi 2015 tutawapa viti viwili,viwili tu''
 
Mh: Mussa Azzan Zungu katika uchangiaji wa bajeti ya serikali aishauri kambi ya upinzani kukubaliana na kuunga mkono serikali katika masuala yenye manufaa kwa nchi jambo litakalowafanya kupata viti viwili zaidi mwaka 20!5....''...mkifanya hivi 2015 tutawapa viti viwili,viwili tu''

Labda kama ni viti vya ufisadi. vinginevyo nakwambia mwaka 2015 SiSiEmu wataangukia pua kuanzia Uraisi, idadi ya wabunge Bungeni, Udiwani hadi Uspika.
CUF itapoteza viti zaidi Znz
 
Labda kama ni viti vya ufisadi. vinginevyo nakwambia mwaka 2015 SiSiEmu
wataangukia pua kuanzia Uraisi, idadi ya wabunge Bungeni, Udiwani hadi Uspika.
CUF itapoteza viti zaidi Znz

Mmh, hapo kwenye RED ongea polepole wasije wakakusikia!
 
Cocaine is extracted from the coca plant, which grows in Central and South America. The substance is processed into many forms for use as an illegal drug of abuse. Cocaine is dangerously addictive, and users of the drug experience a "high"-a feeling of euphoria or intense happiness, along with hypervigilance, increased sensitivity, irritablity or anger, impaired judgment, and anxiety.
 
nakuhakikishieni 2015 there will be no CCM kwa hali ya mitaani jinsi ilivyo na wengi wao watkuwa behind bars

Haya maneno ndiyo yanawafanya kuongeza budget ya FFU na kina Shimbo ili kuhakikisha wanaendelea kuwa madarakani. There is no easy way out for CCM, ballots alone will not defeat them know it from the beginning.

CCM is not design to relinquish power by votes!. Lets hope that Allah will make make us live long enough in the next two circles of elections, quote my posts. None in CCM is thinking even being out of power. For them they think Tanzania is theirs, CCM will die from the fight within not from The ballots!, unless something extraordinary happens
 
Ccm wanachekesha sana,yaani pamoja na Nguvu kuwaisha na mda kuwatupa mkono bado wanahisi wataweza kufika 2015...ama wanasubiri mpaka malaika ashushwe kuwaambia ndo wataelewa,juzi Sugu aliwaambia ukweli aliposema kama hamwamini yanayoendelea nendeni mkaandamane na nyinyi muone kama mtapata watu kama CDM
 
Back
Top Bottom