Recent content by alice02

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wateule wasio na vyama

    Mawazo mgando kweli duuh!!!!unatuaminisha kuwa 2*2=7 teheteheeee.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Bomoa bomoa yavaa fukwe za Mbezi Beach; Kuacha kilio kwa matajiri wavunja sheria!

    Najisikia mwenye tabasamu na kicheko cha kugugumia moyoni.Nilijua wapinzani pekee ndo watakao isoma namba,kumbe hapa kazi tuu. inaanzia kwa wenye CCM(CCM ina wenyewe) kweli awamu ya tano wengi wataisoma NAMBA
  3. A

    JamiiForums Tanzania Wosia wa mwisho kwa vijana wa Kitanzania

    Kadrii unavyotaka kutendewa wewe ndivyo hivyo uwatendee na wengine pia.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Wosia wa mwisho kwa vijana wa Kitanzania

    Ndugu TumainiEL nakushauri kuwa; Tenda Haki iishi Haki kwakuwa maisha yenyewe ni mafupi sana, Miaka Themanini kama unanguvu lakini Kumbuka kuna maisha mengine baada ya hapo(ask yourself this question Where shall you spend your eternity?)ukishapata jibu lake basi utawahurumia wa TZ NA kuwaombea
  5. A

    JamiiForums Tanzania Zitto: Januari ndiye mgombea wa CCM aliyejieleza kwa ufasaha zaidi kuliko wote!

    Tuchague Rais kwa kigezo cha kujieleza kwa ufasaha zaidi?au......
  6. A

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

    Napatikana Dar Namba yangu 0784375494
  7. A

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

    Mimi nawahitaji hao kuku NAOMBA NAMBA YAKO
  8. A

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

    Kuku wa kienyeji Aina ya Kuchi wanauzwa kwamaelezo zaidi tuwasiliane 0784375494
  9. A

    JamiiForums Tanzania Tovuti ya Kutuma Matangazo

    Nina Kuku kuchi nauza Nipige 0784375494
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kususa/kununa siyo suluhisho katika mahusiano

    Nilikuwa mnunaji na msusaji Mzuri sana lakini sasa nimepona matatizo hayo na niko tayari kusaidia wengine
  11. A

    JamiiForums Tanzania Shamba! Shamba! Shamba linauzwa Kibaha Madafu.

    Shamba! lenye ukubwa wa Hekari 11 Linauzwa sh 30M Kibaha Madafu km 7 kutoka Barabara ya Morogoro.lina miti ya mikorosho michache halija pimwa. Ukiwa INTERESTED Usisite kuni PM Au kunipigia kupitia namba 0784/0657 (375494)
  12. A

    JamiiForums Tanzania Wajumbe mkutano mkuu (CHADEMA) wacharuka - kitanzi chamngoja Mbowe

    Huna hata aibu kuzungumzia Umeme kama Luxury katika ulimwengu huu wa .com Umetumwa! Kibaraka mkubwa we. Mwingulu ''Savimbi'' Gaidi mkubwa. Wewe ndiyo Rich mond usiyekuwa na uchungu wa Watz.Usituletee hoja ya kutupumbaza hapa Janvini kafe mbele huko na maunafiki yako ya kizandiki
  13. A

    JamiiForums Tanzania Shamba Shamba Linauzwa Kibaha Madafu

    Shamba! lenye ukubwa wa Hekari 11 Linauzwa sh 30M Kibaha Madafu km 7 kutoka Barabara ya Morogoro.lina miti ya mikorosho michache halija pimwa. Ukiwa INTERESTED Usisite kuni PM Au kunipigia kupitia namba 0784/0657 (375494
  14. A

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaitupa kapuni Rufaa ya Zitto

    Nchi iuzwe mara ngapi ?hakuna sehemu iliyobaki bila kuuzwa. Chadema wakikamata dola watakuwa na kazi ya kulipa garama kubwa kuikomboa TZ Mikononi mwa walio inunua kotoka Maccm.
  15. A

    JamiiForums Tanzania Shamba! Shamba! Shamba! Linauzwa Kbaha Madafu lina Hekari 11

    Shamba! lenye ukubwa wa Hekari 11 Linauzwa sh 30M Kibaha Madafu km 7 kutoka Barabara ya Morogoro.lina miti ya mikorosho michache halija pimwa. Ukiwa INTERESTED Usisite kuni PM Au kunipigia kupitia namba 0784/0657 (375494)
Back
Top Bottom