Recent content by ali pendo

  1. A

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mi kwa mwezi natumia unit chin ya 75 nipo T1 je naweza andika barua waniweke T4?? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kuvimba miguu mama mjamzito

    Jaman mama mjamzito akisafiri kukaa muda mrefu sana kwenye gar anavimba miguu ili kuipunguza dawa yake nini?
  3. A

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Dar: Rais Magufuli ataka Lugumi achukuliwe hatua. Kuna hela zimechezewa NIDA, achoka kutoa rambirambi

    safi sana na hongera RAIS WANGU MAGUFULI SIJUTII KUPIGA KURA YA NDIO KWAKO
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kama sijajenga wala kuwa na usafiri binafsi sitaoa maisha yangu yote

    Babako angewaza kama wew basi wew usingekuwepo na jua kwenye mafanikio ya mwanaume mwanamke yupo nyuma hapo sas wew subir kumbe mkeo ndo nyota ya mafanikio yako endelea kusubr
  5. A

    JamiiForums Tanzania Nasikia Majizo anamuoa Lulu...

    Mmh acha kulitaja bure jina la bwana Mungu wako ...afu dar tuna mkuu wa mkoa sasa wew shoboka
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mbowe achia chama kwa vijana wakijenge la sivyo 2020 yatawakuta makubwa CHADEMA

    Aisee huyu mzee apumzike tu saiz kaishiwa sera jaman nilithibitisha pale msiban kuwa mzee kachoka kindevu na kiakil
  7. A

    JamiiForums Tanzania Bungeni Dodoma: Shughuli ya kuaga mwili wa aliyekuwa mbunge wa CHADEMA mwalimu Kasuku Samson Bilago

    Hapo sasa sio wanabwabwajaa tu hapa kujihami waseme kunamatabaka au??!
  8. A

    JamiiForums Tanzania Bungeni Dodoma: Shughuli ya kuaga mwili wa aliyekuwa mbunge wa CHADEMA mwalimu Kasuku Samson Bilago

    Chanzo ni kulaumiana msiban kuwa bunge halijamuhudumia marehemu
  9. A

    JamiiForums Tanzania Bungeni Dodoma: Shughuli ya kuaga mwili wa aliyekuwa mbunge wa CHADEMA mwalimu Kasuku Samson Bilago

    Mtu hajapumzishwa bado afu mnaleta siasa msiban
  10. A

    JamiiForums Tanzania Bungeni Dodoma: Shughuli ya kuaga mwili wa aliyekuwa mbunge wa CHADEMA mwalimu Kasuku Samson Bilago

    Wew acha kupotosha wew ndo mpotoshaji tatizo lako hujasikiliza kanisanbkaongea nn..tatzo lenu mnataka kiki msibani
Back
Top Bottom