Recent content by Ali Hemed

  1. A

    Mshahara wa dakatari zanzibar

    1.48 million TGHS E
  2. A

    Mshahara wa dakatari zanzibar

    Ni kweli kuwa mshahara wa medical doctor mwenye degree katika hospitali za serikali zanzibar ni 800k?
  3. A

    Je ni kozi zisizokuwa hazikosi ajira?

    Ahsante Sana kwa ushauri mkuu
  4. A

    Je ni kozi zisizokuwa hazikosi ajira?

    Nimemaliza pcb 2022 nimepata division 1.8 phys C chem B na Bio C natafuta course ambayo nikimaliza tu chuo nipate ajira swali langu je ni kweli kuwa kozi za afya ni kozi ambazo watu wake hawakosi ajira kamwe pindi tu anapotoka chuoni (fresh graduate)
  5. A

    Ajira za afya

  6. A

    Kuhusu nyongeza ya mshahara

    Jamani hii Ina apply Kwa zanzibar pia au ni Tanzania bara tu??
  7. A

    Mshahara wa mfamasia na medical laboratory science kwa gazi ya degree

    Wanajamii forum naomba kuulizia Ni kiwango gani cha Mshahara wa mfamasia na medical laboratory science kwa gazi ya degree kwa Zanzibar (s.m.z)
  8. A

    Kozi za degree zinanzo husiana na geography

    Naomba kupata outline za course za masomo yanayohusu Field ya geographia Mimi nikijana niliemaliza kidatu Cha sita 2022 combination ya CBG Nina penda Sana geography nanina ndoto za kusoma degree yenye kuhusu field yake chuo kikuu
  9. A

    Kwa Mara ya kwanza swali la topographical map interpretation halikuwa la lazima geography 1 kidato Cha sita

    Kabisa mkuu hongera kwa kumaliza mitihani yako salama kila la heri na matokeo mazuri
  10. A

    Kwa Mara ya kwanza swali la topographical map interpretation halikuwa la lazima geography 1 kidato Cha sita

    Kwa Mara ya kwanza katika miaka yote ya utungaji wa mtihani wa geographia 1 kidato Cha sita 2022 swali la topographical map interpretation halikuwa la lazima badala yake swali la surveying and map making ndio lilikuwa lazma na kubeba ujumla wa alama 25 hii imeshutusha Sana watahaniwa wakati...
  11. A

    Nimemaliza PCB, nataka afya Ila siwezi kuvumiliaa kuona damu wala kuona mtu anatoka damu

    Ahsante sana kwa ushauri mkuu namie naona Bora nisome pharmacy.
  12. A

    Nimemaliza PCB, nataka afya Ila siwezi kuvumiliaa kuona damu wala kuona mtu anatoka damu

    Selection Nimepata MD chuo cha kcmc na pharmacy CUHAS mkuu
  13. A

    PCB 3.13 kuenda kusoma udaktari nje

    Nimemaliza kidato Cha sita nimepanga kusoma md uganda, Je, Kuna athari gani kwenda kusoma nje ya nchi bila no objection certificate ya tcu maana sijatimiza vigezo vya D tatu ya tcu na nimekosa chuo.hapa.nchini. Nimepata phy D chem D bioE 3.13
Back
Top Bottom