Vitu viwili vinafanyika
1)kuna baadhi ya vifaa ambavyo ni direct imported huwa wanaassemble kama vile engines n.k
2)kuna vitu ambavyo huwa vinaundwa au kutengenezwa hapa hapa bongo ambavyo huwa vinahusisha welding activities
Kwa hiyo tukisema meli inatengenezwa hapa bongo sawa au tunafanya...
Njia pekee itakayomaliza foleni dar ni kujenga reli ambayo zitapita treni za abiria kama daladala kwa mfano
Kibaha-posta-k/koo
G/mboto-k/koo-posta
Bagamoyo-k/koo-posta
Mbagala-k/koo-posta
Kwa kufanya hv huwezi tena kuwa na foleni dar
-Kijana mmoja ameamua kujikata uume wake pamoja na kidole chake cha shahada akisema kuwa ameamua kufanya maamuzi hayo ili amtumikie M/mungu.
-Amesema ameamua kukata viungo hivyo hususani uume wake kwa sababu mambo ni mengi.
-Je huyu jamaa kweli ameamua kumtumikia M/mungu au anaenda kinyume na...
Halafu cha kushangaza katika haya mashirika ndo yanaongoza kwa kula bata wafanya kazi wake sana mainsentives kama yote vile achilia mbali mishahara
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.