Recent content by Ali Bonge

  1. A

    JamiiForums Tanzania Marekani yasalimu amri kwa Magufuli

    Sio Balozi amesalimu amri hayo ni maagizo kutoka White house kwa President Obama, Magufuli amekubaliwa na ameonekana yuko serious kupambana na ufisadi na kutaka utawala wa sheria. Very soon kabla hajaondoka madarakani mtegeeme President Magufuli ataalikwa Oval Office kama mgeni rasmi wa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Ningejua kama Urais ndio hivi, nisingegombea

    Mheshimiwa Magufuli Mwenyezi Mungu amekuchagua ili uje uwaokoe Watanzania. Allah sikuzote huwa anakuwa pamoja na watu wadilifu usikate tamaa history itakukumbuka kwa unayofanya. Hawa mafisadi wana mind sana maisha ya hapa duniani ambayo ni mafupi na wewe Kama mcha Mungu unafikiria maisha...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mawaziri Watakaolalamikia OC Ndogo!, Waache Kazi!. Ni Kauli ya Kujenga Nidhamu au Udikiteta Tuu?!.

    Kweli kauli mbiu ya president Magufuli ya (Magufuli for Changes) wakati wa uchaguzi inaonekana dhahiri. Congratulations Mr President.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mawaziri Watakaolalamikia OC Ndogo!, Waache Kazi!. Ni Kauli ya Kujenga Nidhamu au Udikiteta Tuu?!.

    The only person who can put this country in the right direction is President Magufuli. Viongozi hapa Tanzania walijisahau ndio madudu yakazidi.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Magufuli anapanga kumwondoa Kinana na kumpa Abdallah Bulembo Ukatibu CCM

    Mwache predictions na kupiga ra mli
  6. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Bomba la mafuta, moshi mweupe waanza kufuka

    Siku zote Wakenya wanatudharau sana but this time we are no longer underdog.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Charles Kitwanga atajwa kuhusika na kashfa ya ufisadi katika Jeshi la Polisi ya sh. bilioni 34

    Dawa ya kupata clean ministers ni katiba mpya. President Magufuli pitiza katiba ya Warioba ndio itaku safe guard katika mabadiliko unayodhamilia kuleta Tanzania. Utachagua mawaziri walio nje ya vyama vya siasa.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Charles Kitwanga atajwa kuhusika na kashfa ya ufisadi katika Jeshi la Polisi ya sh. bilioni 34

    You can't be in this clean government of President Magufuli while you have been implicated in any scandal. If it is true Mr Minister you better submit your resignation while the investigation is going on We need Tanzania mpya.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

    Each person should face justice kama mtume Noah alipojaribu kumtetea mtoto wake kwa Mwenyezi Mungu Kwasababu ya maasi yake dhidi ya Allah Mwenyezi Mungu alikataa. How many poor Tanzanian died for lack of medicine while few people steal billions. All thieves after being convicted in court of...
  10. A

    JamiiForums Tanzania NSSF ndani ya ufisadi mzito: Wajanja wapiga zaidi ya Sh. Bilioni 179

    Actually this country was raped e economically while my fellow Tanzanian are dying in the hospital. God send to us our mwokozi President Magufuli let God protect him.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Ishu ya Kitilya(TRA) kuibua wengi sana, wengine tusiowategemea!

    100% Nakuunga mkono bila katiba mpya Tanzania will never never change .
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kilichojiri mkutano wa East Africa Oil and Gas Summit 2016: Bosi wa TOTAL azidi kupigilia msumari

    Huu ni mradi ambao umewekezwa na Total nchini Uganda na wala sio serikali ya Kenya ama Uganda sasa lazima wawe na final say. Kingine hawa Total wameshtuka something fishing going on between Kenya na Uganda namaanisha hawataki Mafuta yao yachakachuliwe kwani hii serikali ya hapa kazi tu haina...
  13. A

    JamiiForums Tanzania East Africa: Reports that Al Qaeda controlled part of the tanzanite trade

    Watasema mengi but hapa kazi tu
  14. A

    JamiiForums Tanzania Bomba la mafuta laweza kupita KENYA, MAREKANI akiamua

    Hayo ni maoni ila fahamu Wamerakani ni viumbe kama sisi ndugu usiwaogope wala kuwaabudu. Long Live Hapa Kazi Tu
  15. A

    JamiiForums Tanzania Wachumi wamshukia Magufuli, watabiri pigo la kiuchumi

    Watanzania tufunge mikada na kumsaidia Rais Magufuli huu ni wakati wa mpito. Walikuwa wapi hao so called wasomi wakati maliasili na pesa za watanzania zikiporwa. Kumbukeni during Mwalimu era pamoja hali mbaya uchumi tulikuwa na viwanda vingapi ?
Back
Top Bottom