Recent content by alget

  1. A

    Soma hapa Kitabu cha January Makamba na Tanzania Mpya

    Januari ni waziri katika hii serikali na anatuaminisha kwamba yeye ni mkombozi wa nchi, ili nimuamini anatakiwa ajitoe kwenye hii serikali kwa sababu chakula kizuri hakipikwi chooni
  2. A

    Bunge lageuka uwanja wa mipasho na vijembe baada ya matokeo kutangazwa.

    Mkuu kweli kwa wizi wa kura ni namba wani mfano kwenye katiba zanzibar wajumbe walikua 210 ila sita akasema ni 219 bara kura 419 akasema 412 kweli ni namba wani
  3. A

    Kwa nini UKAWA wasiende kupiga kura ya hapana?

    Mkuu wewe unaona ni haki tulichofanyiwa na bunge la katiba?wabunge wa zanzibar ni kweli walikua 219?
  4. A

    Tangazo kwa UKAWA wote

    Kwani ukawa waliopiga kura wametajwa majina kwa sababu sheria ni kwamba kila mjumbe anaitwa jina na anapiga kura ya siri au wazi
  5. A

    Disemba 9 kila mwaka: Tunasherehekea uhuru wa nchi ipi?

    mkuu suala lako halina mashiko na ni dalili za kukwepa utaifa wako nikupe mfano nchi ya drc enzi za rais mobutu iliitwa zaire na kuna watu wengi walizaliwa ilipokua inaitwa zaire na sasa wanaitwa wa drc kwa hiyo kurudisha jina la nchi yetu kuwa tanganyika hakuna tatizo na tutazoea tu kujiita...
  6. A

    JK Na Funika Ya Jana:- Ilikuwa ni Hotuba ya The Century Tanzania Kwanza!!

    mkuu nilisikiliza hotuba yote lakini suala la kiutawala sikusikia akizungumzia nina maana yeye rais na waziri mkuu wana madaraka zanzibar na kama hawana kwa nini?
  7. A

    Warioba ashitakiwe

    acha ujinga wewe wahaini ni karume na kikwete walioruhusu zanzibar kujitambulisha kama nchi yenye mipaka hivyo wakavunja katiba ya tanzania
  8. A

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa Tarehe 21 Machi 2014 - Hotuba ya Rais, Uzinduzi wa Bunge Maalum

    Utafuta kipengele cha zanzibar ni nchi,utaruhusu bara wamiliki ardhi zanzibar
  9. A

    Haya ndio Maneno ya Mwisho ya Baba wa Taifa Hili Mwalimu Nyerere Kuhusu Muungano!!

    KARUME'muungano ni kama koti ukilichoka unalivua'wazanzibar washavua koti kwa kuwa na katiba, ,wimbo wa taifa,bendera na sasa wanataka mamlaka kamili yaani wawe na kiti UN.unachoongea hapa na kuweka maneno ya Nyerere ni kazi bure ningekushauri uende zanzibar uwaeleze busara hizi za mwalimu
  10. A

    Aina ya Muungano: CCM yatoa waraka kusisitiza msimamo wake ni Serikali Mbili!

    na mimi pia najiuliza hivi mtanganyika gani alipendekeza tanganyika ife, hata hivyo kigoma kubwa sana huwezi ukajua nani alipendekeza nini halafu mkuu unajua wazenj wanataka mamlaka kamili wakimaanisha kiti UN mnaweza kuwazuia hao watu wenye utambulisho wao
  11. A

    Kalenga wamlilia zitto kabwe

    Una uhakika zito ni zaidi ya madini na gesi?kwa hiyo ukiona dhahabu ya pesa ndefu halafu pembeni yuko zito utamchukua zito?
  12. A

    ACT presha ya nini!

    Hapana DP ya mtikila ndio mkombozi wa tanzania
  13. A

    Kwanini hadi sasa miaka 20 ya vyama vingi CHADEMA haikubaliki Zanzibar?

    mkuu sio lazima chama kikubalike maeneo yote hata marekani kuna sehemu ni democratic na sehemu zingine ni republican
  14. A

    Mpasuko chadema waiva; mbowe & dr slaa kumuangukia zitto.

    zito yuko act na kama unampenda sana mfuate huko ni jambo la aibu na fedheha kumuomba msamaha zito
  15. A

    Tanzania yapaa Kiuchumi - sasa ni ya 12 AFRICA

    Mkuu nakukubali sana kwa huu uwezo wako wa kutafuta data ila kwa mimi siamini sana hizo data hasa kwa waliotoa matokeo(cia)hivi wapi walipofanyia uchunguzi huo huku ninapoishi pangawe hali ni mbaya sana
Back
Top Bottom