wewe toka mapovu mithili ya mgonjwa wa kifafa , sisi tunasonga mbele !
kanda ya kaskazin mnasonga mbele, kanda nyingine zinajongea nyuma
wewe toka mapovu mithili ya mgonjwa wa kifafa , sisi tunasonga mbele !
zito yuko act na kama unampenda sana mfuate huko ni jambo la aibu na fedheha kumuomba msamaha zitochadema muombeni msamaha zito ni mstaarabu atawasamehe tu msione aibu