Simama na miguu yako, usitumikishwe na kina slaa na genge lake. Utakufa maskini huku wao wakigawana ruzuku ya chama
Unatunisha mishipa bure tu hapa. Huyo Zitto amekutuma uje kumsafisha hapa JF au wewe ni mkewe?Marehemu anaweza kuhoji mahesabu ya vyama yakaguliwe? Njaa zenu zitawapeleka kuzimu
I dont have enough time to waste discussing with an idiot. Ndio tabu zenu vibarakautakufa maskini wewe na dhiki zako za kuamka asbuhi asbuhi unawaza kalenga tu. unafikiri wote majuha kama wewe mnaopelekeshwa na wana siasa. by the way hivi do u have other life apart from ushabiki wa kisiasa?!
Ni njaa tu zinakusumbua! Elfu 7 ndio inakutesa hivi?Zitto ni dhahabu kwa wenye akili timamu. Ni kondomu kwa wenye mtindio wa ubongo
zito kabwe anapendwa sana na watanzania wote. wanaomchukia zito ni mataahira na wachawi tu. tanzania inahitaji kiongozi msomi na mzalendo kama zito kabwe . zito kabwe ni hazina ya nchi., ni rasilimali muhimu ya nchi zaidi ya madini na gesi.
Ni vizuri usepe kwa sababu hii thread uliyotuletea hapa ni utumbo tu! Njaa kitu mbaya sana!I dont have enough time to waste discussing with an idiot. Ndio tabu zenu vibaraka
Watu kama kinha Zitto Rwanda wanafanywaje? hatumuhitaji mtu wa aina yake!zito kabwe anapendwa sana na watanzania wote. wanaomchukia zito ni mataahira na wachawi tu. tanzania inahitaji kiongozi msomi na mzalendo kama zito kabwe . zito kabwe ni hazina ya nchi., ni rasilimali muhimu ya nchi zaidi ya madini na gesi.
Nguvu na uwezo wa zitto kisiasa hapa nchini ni zaidi ya machadema, si mbowe wala slaa ambao ni mabwana zako wanamhofia vibaya mno, sembuse wewe kibaraka.
KALENGA WAMLILIA ZITTO KABWE:::
Wananchi wa Kalenga wamemuuliza mgombea ubunge jimbo la Kalenga kwa nini Kamati Kuu ya Chadema ilifanya maamuzi dhidi ya Zitto kinyume na Katiba ya Chadema. Wananchi hao wamemwambia Mgombea huyo kuwa Zitto aliyekuwa Naibu Katibu angejadiliwa na Baraza Kuu kwani Naibu Katibu anatokana na Baraza Kuu.Hivyo Wananchi wamesema kuwa Zitto Kabwe alionewa na pia Katiba ya Chadema ilikiukwa kwa Maslahi ya Mbowe eendelehe kuwa Mwenyekiti wa Kifalme wa Chadema.Mgombea Ubunge huyo amewajibu na kusema suala la Zitto bado liko Mahakamani.Wananchi wa Kalenga wakaonyesha msimamo wa kutokuichagua Chadema mpaka wamemuone Zitto anafika Kalenga.