Recent content by Alfris

  1. A

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanyiwa Ibada Maalumu nzito Vatican

    Mama hakufanyiwa Ibada Maalumu. Umepotosha. Haikuwa Ibada kwa Mama, ila aliombewa katika Ibada ya kuagwa kwa wanafunzi. Pia, Wanafunzi husika hawakai Vatican. Wanafunzi wanakaa Italy. Tunao utaratibu wa kumwombea, wala si mara ya kwanza. Wewe haukuwepo, umepewa habari na watu wa Ubalozi ama...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanyiwa Ibada Maalumu nzito Vatican

    Ndugu mwandishi. Nakujibu nikiwa mmojawapo wa washiriki wa Ibada hiyo. Unakosea haki wahusika unapotoa taarifa ya uwongo. Ibada iliyofanyika, ilikuwa na lengo moja tu, kuwaaga wahitimu. Kisha ndani yake, liliombewa Taifa, Rais na viongozi wake. Hakukuwa na Ibada nzito iliyoandaliwa kwa ajili ya...
  3. A

    JamiiForums Tanzania UTALII

    Jamii Formums, mwaweza kuweka pia jukwaa la masuala ya utalii. Ninaandika kuhusu sehemu inayoitwa Chemka, Hot spring iliyopo Hai, Boma ng'ombe huko moshi. Kiingilio kwa mtu mmoja ni elfu 5, wakati mwingine inapanda kwa kadiri ya msimu. Hoja yangu ni kuhusu uchafu na uchakavu wa vyoo vyao, na...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Smile watuweke wazi kama wamefilisika ili tutafute namna nyingine kuwafikia ndugu zetu

    JF, tunaomba mtusaidie kuwauliza wamiliki wantandao wa Smile, kuna tatizo gani ambalo halitatuliki? Ni zaidi ya miezi mitatu sasa huduma hazipatikani kwa tuliopo nje ya Tanzania. Tumewauliza mara kadhaa kwa email, wanadai kuna tatizo la kiufundi. Siyo kawaida tatizo kudumu miezi. Tunaomba...
  5. A

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kusanikisha Mfumo wa Rufaa za katika Hospitali za Kanda

    NAMNA ILIVYO SASA Mfumo wetu wa Rufaa katika Hospitali za Tanzania, unategemea tu Barua ya Daktari mwenye hadhi ya kuandika Rufaa, na akishaandika, humkabidhi mgonjwa kwenda Hospitali aliyoelekezwa. CHANGAMOTO Siyo rahisi sana kuwa na hakika ya kushughulikiwa Rufaa husika. Pengine, Daktari ili...
  6. A

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ithibati ya katika Tasnia ya Uandishi Vitabu Tanzania

    MAANA YA KICHWA CHA HABARI Natumia neno Ithibati nikiwa na maana ya Kibali cha uchapaji wa kitabu. Tunaweza kuwa pia na neno "Uthibitisho", ambapo kwa Kilatini kuna neno "Imprimatur". (Rejea MobiTuki). SABABU ZA KUANDIKA Sababu ya kuandika haya, ni uwepo wa vitabu vingi kwenye mzunguko wa...
Back
Top Bottom