Sales Supervisor: awe tayari kutumia pikipiki
Sales Rep/Van: Awe na leseni ya udereva
Key Account Rep: Awe na uzoefu wa Supermaket na awe tayari kutumia pikipiki
Data Clerk: Awe na uzoefu wahiyo kazi
Wote hao lazima wawe wana uzoefu na uzaaji na usambazaji wa vipodozi au madawa ya binadamu...
Hahaha elezea nyumba sio kiwanja na kama ulivyoshauriwa hapo juu...weka picha, bei na simu.
Mbona hii issue ya namna gani utangaze bidhaa yako imeishaelezewa sana hum lakin watu hatubadiriki?
Kimsingi cc ya ingine haina uhusiano na fuel consumption kwa maana kwamba hakuna std formula kuwa ukiwa na lets say cc1300 basi itaenda km 13 au ukiwa na engine ya cc 4200 basi itaenda 42km hapana.
Iko hivi:
1.3ltr maana yake ni kwamba at any given moment enginw yako inakuwa na huo ujazo wa...
Kustaafu ni changamoto na ndo maana wastaafu wengi hufa haraka kwa kushindwa au kukosa shuguri au mradi wa kumuingizia kipato na kumu keep busy.
Naamin hiki kizaz chetu uelewa umekuwa mkubwa sana kiasi ambacho vijana wetu ndo wanaomiliki uchumi na wengi wana focus nzuri za uhangaikaji japo...
Kwa sasa huitaji kununua decoda na tv unless budget ---- imebana. Au kama tayari una tv sawa ila kama huna nashauri ununue tv za samsung LED zina inbuilt decoda na unapata free channels zote za hapa ndani kwa maana ya local channels na pia za nje kwa maana ya free channels pia. Na zote hizi ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.