hii ni nzur ,tena bei ya parking bado upo chin ,hapa tunataka kupromote public means of transport in order to reduce the rate of emission of green house gases which is dangerous to the environment in which they increase the rate of urban heat island .
inabid tupande daladala hata kama ni kwa kubanana cha muhimu umefika kazin ,unakuta mtu mmoja yupo kwenye gar mwenyewe anaongeza msongamano ,na inabid kuwe na barabara za kulipia ,hii itaongeza mapato kwenye halmashaur za jiji .