Recent content by Alfred Malingila

  1. Alfred Malingila

    PreGE2025 Amos Makalla: Achaneni na Propaganda za "No reform", Uchaguzi upo, msidanganyike

    Nyieee chukulieni kama tunatania. CHADEMA tunamaanisha kwa hili tofauti na hapo jeshi litasimamia nchi. CCM mjiamini basi si mnawafuasi wengi
  2. Alfred Malingila

    LGE2024 Matokeo ya uchaguzi mtaa wa Geza Ulole, Kigoma yabatilishwa na Mahakama

    Hiyo ndio changamoto. Ni aibu sana kwa chama cha mapinduzi CCM, kwani hamjiamini !?
  3. Alfred Malingila

    Ijue Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, sheria no. 11 ya mwaka 2022

    Nivigumu sana kumsikia mwanaume akisema "hii namba yangu amekupatia nani !?" Shida iko kwa hawa dadas, Wallah wakiijua hii sheria wanaume tutaishia kulipa madeni
  4. Alfred Malingila

    PreGE2025 Uchaguzi ujao tuepukane na makosa madogo madogo yanayoleta malamiko kwa wapinzani

    Polisi wakikaa kando hata walemavu wa miguu watatembea kuandamana ila saizi ukinyanyua mdomo kuongea kesho na kesho kutwa tunakusikia umetekwa na watu wasiojulikana
  5. Alfred Malingila

    PreGE2025 Uchaguzi ujao tuepukane na makosa madogo madogo yanayoleta malamiko kwa wapinzani

    Bila ya mabadiliko ya Tume huru ya uchaguzi CCM mwaka huu utakuwa ukomo wenu wa madaraka tumewachoka
  6. Alfred Malingila

    Utapoteza marafiki wengi wa faida kwasababu ya kutaka kuwa nao kwenye mahusiano ya kimapenzi

    Hili swala naona ni zito kwangu na kwa baadhi ya vijana na wanaume wa aina au wenye akili kama yangu, sijasema na akili punguwani NO hapana. Swala la urafiki wa jinsia mbili tofauti katika eneo moja (Kijiji, mtaa au kitongoji) ni kitu kigumu sana kwa Karne hii ya 21 lazima pawe na NEGATIVE...
  7. Alfred Malingila

    Responded TANESCO Tabora: Kulikuwa na hitilafu ya transfoma, imetatuliwa, kuhusu Uyui umeme utakatika tena kwa ajili ya matengenezo

    Ahsante sana Jamiiforums nimeielewa taarifa hii, tuko bega kwa bega katika ubora wenu !.
  8. Alfred Malingila

    LGE2024 ACT Wazalendo: CCM na Wasimamizi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa waache kuwatisha na kuwashawishi wagombea wa upinzani kujiondoa kwenye uchaguzi

    Kaka wagombea wa vyama pinzani wanatishwa, wanatekwa, wanauawa n.k inajenga hofu na wasiwasi wa kuendelea kujitangaza kwa wapinzani (chama tawala) lakini naimani tutafika tu !.
  9. Alfred Malingila

    Kijana mdogo kutoka na mshangazi ni kuidhulumu nafsi

    Shida wanajua kupenda sana, hawaumizi kama hivi vitoto vya 2000.
  10. Alfred Malingila

    USIIGE: Kila Mtu ana mwendo wake barabarani na sababu zake

    Hii akili ingelikuwa na madreva woteingelipunguza kiasi kikubwa cha ajari barabarani
  11. Alfred Malingila

    Chama tawala chini ya Masisi chapoteza madaraka katika uchaguzi Botswana baada ya miaka 58

    Bongo bado tunaile hali ya uwoga na ubinafsi, tukipona eneo hilo wizi wa kura na udikteta utaisha.
  12. Alfred Malingila

    SI KWELI Mafuta ya taa hupunguza hamu ya kufanya mapenzi

    Nilitarajia kupata majibu ya swali ila ndio umeniacha njia panda.
Back
Top Bottom