Mkuu leo nimeingia jamii forums nakukuta topic yako ya kuhitaji agronomists, mi namaliza shahada yangu mwezi Agost nasoma agriculture general, kwavile kozi nyingi tunainteract na agronomy hata mimi na qualify kuwa agronomist mawasiliano yangu ni 0765987998 au 0782760087. Mkuu tusaidizane maana...
wadau nisaidieni wapi nipatekazi za kilimo baada ya kuhitimu shahada ya kilimo. Ninasoma mwaka wamwisho katika chuo kikuu cha kilimo cha sokoine (SUA) ninahitimu mwezi agost 2011.
wadau nisaidieni wapi nipatekazi za kilimo baada ya kuhitimu shahada ya kilimo. Ninasoma mwaka wamwisho katika chuo kikuu cha kilimo cha sokoine (SUA) ninahitimu mwezi agost 2011.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.