Ninatafuta kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ninatafuta kazi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Alfonce Leonard, Dec 29, 2010.

 1. A

  Alfonce Leonard New Member

  #1
  Dec 29, 2010
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wadau nisaidieni wapi nipatekazi za kilimo baada ya kuhitimu shahada ya kilimo. Ninasoma mwaka wamwisho katika chuo kikuu cha kilimo cha sokoine (SUA) ninahitimu mwezi agost 2011.
   
 2. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,480
  Likes Received: 2,074
  Trophy Points: 280
  subiri umalize chuo ukishapata cheti ndio utafute kazi kama bado unasoma malizia kwanza hiyo shule sasa kama ukishindwa kumaliza utapataje kazi

  Pia kazi sio kwamba zipo tu zinakusubiri wewe kama kazi ikitangazwa watu wanaomba lakini ktk wakati muafaka maana hapa hata tukikuelekeza wapi kuna kazi huwezi kuomba kwa kuwa huna vyeti wewe bado ni mwanafunzi malizia kwanza shule.
   
 3. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #3
  Dec 29, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  utaipata shambani mkuu
   
 4. J

  Jimmy19823 Member

  #4
  Dec 29, 2010
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  La msingi kwa sasa ni wewe kumaliza shule kwanza...na sio kumaliza tu...bali kukomaa zaidi ili ushinde kwa kiwango cha kuweza kujitenga na wenzio mkiwa sokoni...pia kama ukiweza kuongezea ujuzi ktk field yako itakuwa vizuri pia...itakuwezesha kujitenga kwa umbali na wenzio pia wakati wa usaili au kutafuta kazi etc..
   
 5. D

  Dezidel Member

  #5
  Apr 23, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Njoo kagera sugar limited kazi ni nyingi hadi utazikimbia!
   
Loading...