Recent content by ALFHA MWITA

  1. ALFHA MWITA

    JamiiForums Tanzania Hakuna maisha mengine zaidi ya haya ya hapa dunia, ukipata wasaa wa kufurahi fanya hivyo to the maximum

    Wakati mwingine tujiulize kwa nini tunakufa
  2. ALFHA MWITA

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnishauri biashara ya kufanya ili nitoboe

    asante kwa ushauri mzuri
  3. ALFHA MWITA

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnishauri biashara ya kufanya ili nitoboe

    shida ame limit nyuzi zake kuziona vp lakini wewe broo umetoboa au bado unajitafuta kama umetoboa unipe muongozo
  4. ALFHA MWITA

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnishauri biashara ya kufanya ili nitoboe

    me binafsi ni mwaminifu
  5. ALFHA MWITA

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnishauri biashara ya kufanya ili nitoboe

    mimi ni wa kiume Umri miaka 19 Elimu form four
  6. ALFHA MWITA

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnishauri biashara ya kufanya ili nitoboe

    kaka angu kubeti siwezi naeza nikabeti 5000 ikaliwa ikaniuma sana au unaweka 10000 inaongezeka hata inafika 50000 wanakupiga yote
  7. ALFHA MWITA

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnishauri biashara ya kufanya ili nitoboe

    uwezo wa kupata milioni 50 sina kabisa labda mniajiri mimi binafsi sina biashara yoyote mimi labda uniambie tafuta laki moja uje tufanye biashara fulani naweza itafuta ndani ya mwezi mmoja ila kama uwezekano wa kuniwezesha upo nitakushukuru
  8. ALFHA MWITA

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnishauri biashara ya kufanya ili nitoboe

    nami siamini katika kubeti maana mwaka jana nilijaribu ikashindikana mikeka inachanikia mwishoni au unaweka timu ishinde au idraw inapigwa kubeti kunaumiza
  9. ALFHA MWITA

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnishauri biashara ya kufanya ili nitoboe

    nipo mkoani mara wilaya ya tarime
  10. ALFHA MWITA

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnishauri biashara ya kufanya ili nitoboe

    Ndugu zangu watanzania wenzangu,kaka zangu,dada zangu,baba zangu na mama zangu. Naombeni mnishauri aina ya biashara nayoweza kufanya na nikapata mafanikio ndani ya mda mfupi mfano ndani ya miaka mitano niwe angalau nimenunua kiwanja changu na nimejenga nyumba nzuri Au unaweza ukanipa muongozo...
  11. ALFHA MWITA

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna madanguro ya wanaume kujiuza na wanawake wanawanunua?

    Write your reply... Kwani vipi unataka ukauze au
  12. ALFHA MWITA

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wenu

    tushirikishe wenzako tupate kazi huko broo maana bongo imekua ngumu
  13. ALFHA MWITA

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wenu

    rudi nae home umuache
Back
Top Bottom